Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wa mapenzi huo mkuu watu wanawahiKama unaajira umesema nenda Tanga tu ila hao wanaokwambua Kuna fursa za kutosha, Ni uongo kama Boda Boda saa mbili wanaenda kulala na hiace zao.
Mkuu sijajua unazungumzia mitaa gani au mara ya mwisho wewe kuwepo Tanga Mjini ni lini, ila mimi wiki iliyopita nilikuwa huko na itoshe kusema baadhi ya maeneo mida ya usiku pamechangamka sana, kuna mahali nilienda kupata nyama choma na vinywaji hadi mida ya kama saa sita hivi na boda walikuwepo wa kutosha tuKama unaajira umesema nenda Tanga tu ila hao wanaokwambua Kuna fursa za kutosha, Ni uongo kama Boda Boda saa mbili wanaenda kulala na hiace zao.
Pana mshahara hauitaji kazi ingine Mkuu mbona naona Wakurugenzi wamejazana Chunya wakitafuta dhahabu kama vile wako Goma.Kama mshahara wako unajitoshereza hauhitaji biashara au kilimo nenda TA. Otherwise Singapore.
TaWakuu habari zenu
Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe
mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini
Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia yangu.
Kati ya vigezo navyovitilia mkazo ni
mji uwe tulivu
Usalama wa mji
Huduma za maji na umeme
Ustaarabu wa watu
Upatikanaji wa vyakula salama kwa bei rafiki masokoni
Gharama za ujenzi (nataka kujenga nimechoka kupanga)
n.k.
🤣🤣🤣kwa mtu unaependa biashara amia Tanga unyaturuni utachelewa
Tanga Kuna fursa Gani potential za Muda wote? Kwanza sasa hivi ndio vyumba vimepanda Bei mpka elfu 80 Self, sababu ya Wageni wengi kwenye mradi wa BBN, tena hapo ni Sahare Raskazone, Hizo sehemu unazosema usafiri wa Hadi sa nane ni siku na siku kwenye Vishughuli, ni hapo bistro na likely, Gari za Tangabeach,Donge,Mikanjuni-Raskazone sa mbili na nusu zinaenda kulala, kadhalika na za kange ndio umeumia, Wadigo na wazigua kwenye biashara hawana haraka kabisa kukujibu sio riziki nenda kwingine, kawaida sana labda wasambaa,Mkuu sijajua unazungumzia mitaa gani au mara ya mwisho wewe kuwepo Tanga Mjini ni lini, ila mimi wiki iliyopita nilikuwa huko na itoshe kusema baadhi ya maeneo mida ya usiku pamechangamka sana, kuna mahali nilienda kupata nyama choma na vinywaji hadi mida ya kama saa sita hivi na boda walikuwepo wa kutosha tu
Hapo kwenye biashara sio kweliTanga... Kuna kila aina ya fursa, biashara, kilimo