round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Waja Leo kuondoka majahaliwaMi naona Tanga pazuri
Njoo Tanga bosi ,kila huduma ipo hapo na pia ni karibu na jiji la Dar masaa yako manne na nusu upo mjiniWakuu habari zenu
Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe
mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini
Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia yangu.
Kati ya vigezo navyovitilia mkazo ni
mji uwe tulivu
Usalama wa mji
Huduma za maji na umeme
Ustaarabu wa watu
Upatikanaji wa vyakula salama kwa bei rafiki masokoni
Gharama za ujenzi (nataka kujenga nimechoka kupanga)
n.k.
Ile kutaja Tanga tu, tayari nakuonea wivu.Wakuu habari zenu
Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe
mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini
Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia yangu.
Kati ya vigezo navyovitilia mkazo ni
mji uwe tulivu
Usalama wa mji
Huduma za maji na umeme
Ustaarabu wa watu
Upatikanaji wa vyakula salama kwa bei rafiki masokoni
Gharama za ujenzi (nataka kujenga nimechoka kupanga)
n.k.
Nenda TANGA USIENDE SINGIDA UTAPAUKA kama kadeti za mchinaWakuu habari zenu
Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe
mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini
Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia yangu.
Kati ya vigezo navyovitilia mkazo ni
mji uwe tulivu
Usalama wa mji
Huduma za maji na umeme
Ustaarabu wa watu
Upatikanaji wa vyakula salama kwa bei rafiki masokoni
Gharama za ujenzi (nataka kujenga nimechoka kupanga)
n.k.
Tanga mjini ni best sanaWakuu habari zenu