Nimeambiwa nichague kituo cha kazi cha kudumu Tanga mjini au Singida mjini, Je nihamie wapi ?

Oohh basi yawezekana labda ni kwenye siku maalum tu, maana mimi nilikuwepo wakati wanajiandaa kumpokea mama, kuna sehemu nilipita usiku nikaona zimechangamka sana
 
Oohh basi yawezekana labda ni kwenye siku maalum tu, maana mimi nilikuwepo wakati wanajiandaa kumpokea mama, kuna sehemu nilipita usiku nikaona zimechangamka sana
Hizi tarehe za ugeni ndio wamejifanya na haraka na kuchanganka na wageni, lakini Bado mamwinyi anayefungua duka sa 12 mpka sa 1 ni mchaga tu na mpare, Wengine wote sa mbili na nusu mpk tatu. Ukiwa na haraka Tanga utagombana na wenyeji.
 
NENDA SINGIDA MKUU,TANGA HALI YA HEWA JOTO BAALAAA KAMA UPO JIKONI NA USHIRIKINA NI MOTO
 
UYO HAPAJUI VIZURI TANGA ATAKUWA ALIENDA SABASABA PALE MITAAA YA MALAYA BEN BISTRO AU TANGA PAZURI NDO WANAKESHA ILAA MJI NI UNA JOTO BALAAA NA SHUGHULI ZOTE UISHA MAPEMA WATU WANAENDA KULALA,WATU HAWAIJUI VIZURI TANGA WANAAROPOKA TU
 
Muulize huyo aliekupa ajira
 
Nenda Tanga kama unataka ustaarabu na utulivu,ila kama unapenda hekaheka na kuchafuliwa na vumbi nenda Singida,pia usiache kwenda na jiwe la kusugulia miguu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…