Nimeambiwa nikiri kuwa nilitafuna mchepuko ili nisamehewe

Nimeambiwa nikiri kuwa nilitafuna mchepuko ili nisamehewe

Umeacha kuandika ujingaujinga jukwaa la siasa umehamia kuleta
Nilitafuna mchepuko flan sasa manzi wangu akagundua baada ya sms kuonesha nilikuwa mahala na mchepuko.

Akachukua simu yangu na akaupigia na kuupiga biti baya.

Ili nisamehewe nimeambiwa nikiri kosa la sivyo sipewi tena mbususu.
fixes za mapendo?Jamaa kilaza sana!😂😂😂😂
 
Utakuwa mwanaume wa kwanza kukiri mkuu wenzio hata uwafume wanakulana wanakataa kabisa na tukio umeona
Hatuwachiti kwasababu hatuwapendi wake zetu, kuna wakati tunalazimika kufanya hivo.

Mkitukamata tumewachiti hatukiri kosa kwasababu kufanya hivo kunawaongezea maumivu nyie wake zetu badala yake tunakataa kwakuwa kufanya hivo mnapata ahueni kwa kujifariji kwamba aaah kumbe mume wangu bado ananipenda na ndio uhalisia wenyewe
 
Sema kweli we mzee
 
Kosa kubwa la kiufundi kukiri kuwa umesaliti! Haitakiwi kabisa kwa mwanaume hata kama amekukuta unapeleka moto kataa kwa nguvu na maarifa yote. Hilo la SMS ungemwambia ni rafiki yangu John. Ndio aliniazima simu.
 
Back
Top Bottom