Nimeambiwa nikiri kuwa nilitafuna mchepuko ili nisamehewe

Nimeambiwa nikiri kuwa nilitafuna mchepuko ili nisamehewe

Hapo ukikiri unaachwa na usipokiri pia unaachwa. Mkemee mwambie aache upuuzi wa kukusingizia kitu ambacho anahisi. Tena mwambie hakupendi ndo maana amekuundia sababu ya kutaka kukuacha. Nenda mbali zaidi kwa kumwambia mbona wewe mapungufu yake unayavumilia? Akiuliza mapungufu gani? Mwambie huwezi kukumbuka mapungufu ya unayempenda na hata ukikumbuka huwezi kutaja kwa kuwa unampenda. Jifanye kakukwaza mno hadi kesi ihamie kwake na kuanza kukuomba msamaha.
 
Kama hawa viumbe hujawajulia ni changamoto
Nilishawahi kuachwa kisa nimeambiwa unamuona huyo dada ameumbika na mimi nikachangia kweli kaumbika ,tokea hiyo siku 🤣🤣🤣🤣
 
Nina dada angu ana mumewe simu za uyo shem wangu zina passwords zote na hajawahi kuacha simu zake kizembe zembe

Sasa siku io alikua anacheza game kitandani si usingizi ukampitia dada anaingia room na vitwin vyake vya kiume vina miezi sita akaona mumewe kalala simu bado ipo kwenye game si akashika sasa na kuanza kukagua

Kakuta michepuko kama yote aka screenshot baadhi ya texts akalala, asubui alivyooenda kazini mumewe akamtumia zile screenshots bila kusema chochote

Mume piga simu kwa dada tuma texts dada kimya
Baba wa watu alivurugwa si kidogo izo texts zake za msamaha sasa anavyomsingizia uyo shetani,
Sababu kubwa ooh nilikua natafuta watoto wa kiume ila sasa ushanizalia mapacha wangu mimi nilikua mbioni kuwaacha, kwanza walikua tu wanakula ela zangu na kunidanganya na mimba za uongo

Alipigwa kiswahili na mazawadi na kuongezewa mtaji mpaka akawa mpole na ugomvi ukaisha

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nilitafuna mchepuko flan sasa manzi wangu akagundua baada ya sms kuonesha nilikuwa mahala na mchepuko.

Akachukua simu yangu na akaupigia na kuupiga biti baya.

Ili nisamehewe nimeambiwa nikiri kosa la sivyo sipewi tena mbususu.
Huku ndio level zako, not kwenye Siasa! Bakia kwenye umalaya wa Mwili, umalaya wa kisiasa huuwezi. Back to the topic, KAMWE USIKUBALI HICHO KITU KITAKUTAFUNA HADI UNAINGIA KABURINI
 
Back
Top Bottom