Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mademu wana huruma sana aisee😃Umeacha kuandika ujingaujinga jukwaa la siasa umehamia kuleta
fixes za mapendo?Jamaa kilaza sana!😂😂😂😂
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hili linanitokea mara nyingi sana nikiwa na mke wangu. Atajifanya anamsifia mwanamke aliye mbele yetu. utasikia mbalizi1 mume wangu ona yule mwanamke alivoumbika, namkata kauli kwa kumwambia kumbe mke wangu macho yako mabovu kiasi hiko! Mbona wa kawaida sana ukilinganisha na uzuri wako haenei hata robo!Kama hawa viumbe hujawajulia ni changamoto
Nilishawahi kuachwa kisa nimeambiwa unamuona huyo dada ameumbika na mimi nikachangia kweli kaumbika ,tokea hiyo siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio, sio Mimi ni shetani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba utasema aliyepo kinenani sio wewe
Mimi nilijichanganya kiukweli sema ukweli alikuwa ameumbika kuliko[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hili linanitokea mara nyingi sana nikiwa na mke wangu. Atajifanya anamsifia mwanamke aliye mbele yetu ....... utasikia mbalizi1 mume wangu ona yule mwanamke alivoumbika , namkata kauli kwa kumwambia kumbe mke wangu macho yako mabovu kiasi hiko! Mbona wa kawaida sana ukilinganisha na uzuri wako haenei hata robo!
Basi hapo roho yake kwatuuuuu, moyoni nabaki nacheka
Hata awe mzuri kuzidi malaika, mbele ya mwanamke wako msagie kunguni wakati huo ukimsifia wa kwako [emoji1] roho yake inafarijika sana hata kwamba anajua kiuhalisia sio kweliMimi nilijichanganya kiukweli sema ukweli alikuwa ameumbika kuliko
Asije akakurekodi video wakati ukikiri kosa na kuomba msamaha.Nilitafuna mchepuko flan sasa manzi wangu akagundua baada ya sms kuonesha nilikuwa mahala na mchepuko.
Akachukua simu yangu na akaupigia na kuupiga biti baya.
Ili nisamehewe nimeambiwa nikiri kosa la sivyo sipewi tena mbususu.
SeniorHapo ukikiri unaachwa na usipokiri pia unaachwa. Mkemee mwambie aache upuuzi wa kukusingizia kitu ambacho anahisi. Tena mwambie hakupendi ndo maana amekuundia sababu ya kutaka kukuacha. Nenda mbali zaidi kwa kumwambia mbona wewe mapungufu yake unayavumilia? Akiuliza mapungufu gani? Mwambie huwezi kukumbuka mapungufu ya unayempenda na hata ukikumbuka huwezi kutaja kwa kuwa unampenda. Jifanye kakukwaza mno hadi kesi ihamie kwake na kuanza kukuomba msamaha.
Nilipiga maza house na mtoto wake, wakati napiga mtoto yeye alikuwa job. Si akarudi ghafla, nikamwambia nilibanwa na choo nikiwa napita hapa, ndo nikaja kujisaidia hapa kwako.USIKUBALIII hiyo ndo sheria yetu wanaume
Kaka mwanamke akiwa hana uhakika ndio salama yako ila mwanamke akipata uhakika wa wewe kukubali atakudanganya amekusamehe ila atakuwa ameingia kinyongo
Ila akiwa hana uhakika anakuwa nusunusu tena anakuwa anaamin hukufanya
Kama ile ya mkono wa bansa, unaichomolea mazimaNever on Earth... kama ulishakaa shikilia hapo hapo.... ukiyumba imekula kwako. Komaaa kiume hata ikiletwa picha yako ya Video ya tukio endelea kukataa katakata.... Kataaa!! Utanishukuru baadae
Kataaa kabisa tena umwambie anakuchonganisha na watuNilitafuna mchepuko flan sasa manzi wangu akagundua baada ya sms kuonesha nilikuwa mahala na mchepuko.
Akachukua simu yangu na akaupigia na kuupiga biti baya.
Ili nisamehewe nimeambiwa nikiri kosa la sivyo sipewi tena mbususu.
Don't dare, huo ni mtego ataondoka atakuacha[emoji3][emoji3][emoji3]Nilitafuna mchepuko flan sasa manzi wangu akagundua baada ya sms kuonesha nilikuwa mahala na mchepuko.
Akachukua simu yangu na akaupigia na kuupiga biti baya.
Ili nisamehewe nimeambiwa nikiri kosa la sivyo sipewi tena mbususu.
Nakazia apaHatuwachiti kwasababu hatuwapendi wake zetu, kuna wakati tunalazimika kufanya hivo.
Mkitukamata tumewachiti hatukiri kosa kwasababu kufanya hivo kunawaongezea maumivu nyie wake zetu badala yake tunakataa kwakuwa kufanya hivo mnapata ahueni kwa kujifariji kwamba aaah kumbe mume wangu bado ananipenda na ndio uhalisia wenyewe
Aisee inaonekana wewe ni kijana mdogo sana, sikiliza huu wimbo👇