Nimeambiwa nikiri kuwa nilitafuna mchepuko ili nisamehewe

USIKUBALIII hiyo ndo sheria yetu wanaume

Kaka mwanamke akiwa hana uhakika ndio salama yako ila mwanamke akipata uhakika wa wewe kukubali atakudanganya amekusamehe ila atakuwa ameingia kinyongo
Ila akiwa hana uhakika anakuwa nusunusu tena anakuwa anaamin hukufanya
 
Meseji ya saa 11 alfajiri ikionyesha nipo na mchepuko?
 
Mkuu upo sawa. Mimi nakomaa ila mchepuko ulitamba kuwa umevuliwa chupi
 
Good
 
Legend[emoji706]
 
Kosa kubwa la kiufundi kukiri kuwa umesaliti! Haitakiwi kabisa kwa mwanaume hata kama amekukuta unapeleka moto kataa kwa nguvu na maarifa yote. Hilo la SMS ungemwambia ni rafiki yangu John. Ndio aliniazima simu.
Nilikamatwa na sms za hivo, nilichokifanya nilifomati simu yake ndipo nikakomaa naye, akabakiza maneno tu
 
Kama hawa viumbe hujawajulia ni changamoto
Nilishawahi kuachwa kisa nimeambiwa unamuona huyo dada ameumbika na mimi nikachangia kweli kaumbika ,tokea hiyo siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alitaaka useme hakuzidi wewe baby.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Legend
 
Ndio. Arejee kwenye mihutasari ya vikao vya nyuma. Suala hili lilishaazimiwa.
 
Nilitafuna mchepuko flan sasa manzi wangu akagundua baada ya sms kuonesha nilikuwa mahala na mchepuko.

Akachukua simu yangu na akaupigia na kuupiga biti baya.

Ili nisamehewe nimeambiwa nikiri kosa la sivyo sipewi tena mbususu.
Huku ndipo ulipobobea jikite huku huku ,kumsema kila muda mbowe unajichoresha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…