Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Aug 12, 2021 #241 Mlatino Zeshalo said: Ulifanikiwa kunenepa? Kama bado tumia protein powder, watu wa gym wanaelewa. Utajaa ndani ya week Click to expand... Mpe na tahadhari asipofanya mazoezi ataishia kunenepa kalio
Mlatino Zeshalo said: Ulifanikiwa kunenepa? Kama bado tumia protein powder, watu wa gym wanaelewa. Utajaa ndani ya week Click to expand... Mpe na tahadhari asipofanya mazoezi ataishia kunenepa kalio
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,130 Reaction score 3,599 Aug 12, 2021 #242 Mgeni wa Jiji said: Mpe na tahadhari asipofanya mazoezi ataishia kunenepa kalio Click to expand... Hakusema anataka anenepe nini? Angesema nimgempa maelekezo vizuri maana angefanya mazoezi tofauti tofauti kuujenga mwili anavyotaka baada ya kutumia pp.
Mgeni wa Jiji said: Mpe na tahadhari asipofanya mazoezi ataishia kunenepa kalio Click to expand... Hakusema anataka anenepe nini? Angesema nimgempa maelekezo vizuri maana angefanya mazoezi tofauti tofauti kuujenga mwili anavyotaka baada ya kutumia pp.