Ukikutana na mpuuzi kama huyo usijiangaishe kumjibu mkuu.Nashukuru kwa kuniita fala. Sijachukia kwa sababau huenda imani yako haipo katika jina la YESU. Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu...
Na mimi sifanyi masihara namwita aje kwa YESU. Kama yupo tayari anitafute PM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah!!kila baya lolote ni ccm,aiseeR
tatizo wewe ni liccm na ndio chanzo cha haya magonjwa
MhNiliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
Last seen take ilikua May24Jamaa sijui mzima au la kibaya sasa jf haionyeshi last seen hili nalo tatizo
Hiyo itakua violation ya haki yake ya usiri ana haki ya kuwa na usiri wa mambo yake that's why hajaacha any trail nyuma yake ya kumtrace na hata hajatuachia mtu wa kutupa feedback ya afya yake. Tuheshimu hili.May 14 ndyo ilikuwa last seen ya huyu ndugu yetu... Ma mods watusaidie tufaham real iD ya huyu ndugu... Hata email ili tuweze pata jina lake kamili. Tujue kama huyu ndugu yetu yu hai au la!? [emoji47][emoji47][emoji45][emoji45]View attachment 821373
Tena endelea kujitafakari then chukua hatuaHuu uzi umenifanya nijitafakari sana
Kwel sio kila kitu utan kuna vitu lazima tuungane na kuweka harakat zote chinJionee aibu na omba yasikupate hayo umefanyia utani.
Dah inasikitishaDuh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;
Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it is..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.
Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!
Death is painless ndugu.
Tangulia mkuu, tunakuja!
Candle in the wind.
Love you folk
Atakuwa ashasepa dah so sad......Mhh huyu mtu
Kwel sio kila kitu utan kuna vitu lazima tuungane na kuweka harakat zote chin
Inasikitisha mkuuAtakuwa ashasepa dah so sad......
Ok now change to be a better person from your heartHuu uzi umenifanya nijitafakari sana
Noma sana dah....Inasikitisha mkuu
we jamaa hata kama unaongopa ila unafaa sana katika vitengo vya ushauri nasaha,una maneno mazuri sana ya kumfariji mtu........au wewe ni doctor mkuu?Dah inasikitisha