Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Eee Mungu wa huruma sikio kilio na maombi ya mtumishi wako huyu. Sema neno tu na mtumishi wako akaponeNilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.
Acha kabisa nilimwuguza rafiki yangu ameshatangulia mbele ya haki tuliingia kwa dokta taarifa aliyotupa inasikitisha alikuwa na cancer stage 4 daaahh sitaki kukumbuka unaishi na mtu wako wa karibu ukijua ana miezi michache ya kuishi na ndivyo ilivyotokea. Ninamwelewa sana mleta madaHakuna kitu kigumu kama kuwasiliana na mtu ambae unajua anakaribia kufa.
Nimejikuta nawaza kuvaa viatu vya mleta mada, hadi moyo wangu umpata hofu kubwa
Ndugu folk, usiogope bado lipo tumaini kubwa sana njoo inbox nikupe daktari wa kumwona na shida yako itapata jibu mwafakaRipoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na pancreatic cancer stage 4.
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Sad.
Bye bye Mother earth.
Pole sana kaka yangu mdogo Bwana ni mweza wa yote, kuna mfalme Ezekia alikuwa mgonjwa sana na aliletea ujumbe na nabii Isaya kuwa atakufa lakini alimlilia Mungu na Mungu alisikia kilio chake, hivyo usikate tamaa, nenda kwa watumishi wa Mungu utapata faraja ya Bwana kuwa na imani tu Yesu yungali anaishi kwetu, kufa tutakufa lakini si kifo cha aibu maana aibu alisha ibeba Yesu KristoAsante ndugu, Jana nimelia sana kwani nimemkosea nini Mungu Mimi.
Jamani jamani.hv ni kweli uyasemayo?Niliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
Please say ur jokingRipoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na pancreatic cancer stage 4.
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Sad.
Bye bye Mother earth.
Yupo hapa dar kama unaenda mbweni aende pale au hata mwenge vinyago wote hao Mungu anawatumia, kifo ni siri ya Mungu basikama una imani Mungu yupo jaribu Maombi nenda Tanga majestic hall kuna ministry inaitwa shiloh utarudi ukiwa mzima watu wenye HIV wanapona sembuse ww Mungu atakukuponya
Folk umeongea kwa ujasili sana!! Amin sio wewe mwenye ujasili huu, ni Mungu amekupa nafasi tena. Biblia inasema si. Wote watakaoniiata Baba wataingia kwenye ufalme wangu. Ikaendelea mbele kuna wengine hawata onja mauti mpaka wamuone mwana wa Adamu akishuka mawinguni. Nisikilize nikipindi cha kumrudi Mungu wako, una heri wewe uliejua siku yako, basi yatengeneze mapito yako.Nimedhoofika sana. Nitakufa punde.
Roho itaenda inapostahili sio tu kupumzika Kwa amani jitengenezee mazingira na umludie Mungu wakoNilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.
Hapana ndugu kama una ndugu hapo anaweza kwenda hizo sehemu kwa imani yote yawezekana vitu vingine ni ibilisi si Mungu shetani yuo kaziniNiliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.