Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Kwakweli aende kanisaniJamani.Usiseme hivyo Nenda kanisani ukaombewe.Hakika utaishi.Hutakufa kama walivyotabiri
Nilikuwa ndani ya gari natoka hospitali.Cancer stg 4 bado unaweza kutembea hadi makaburini. Itakuwa siyo cancer ninayoijua Mimi.
Unatutangulia tu. Millions have gone before you so take heart. ALL MEN MUST DIE!Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na pancreatic cancer stage 4.
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Bye bye Mother earth.
Pole ndugu ila neno moja tu kazana kumuomba Mungu kwa maana yeye ndio daktari bingwa na pia Mungu wetu huishi katika sifa hivyo yu mkini umeshakiri ya kuwa madaktari wa dunia wameshindwa basi niwakati sasa wa Mungu kudhihirisha ukuu wake naamini hutakufa bali utaishi. Mungu akubariki sana na akulinde na mabaya.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na pancreatic cancer stage 4.
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Bye bye Mother earth.
Mfalme Ezekia alitumiwa na nabii Isaya na alikuwa mgonjwa lakini alimkumbusha Mungu kwa kazi alioifanya na Mungu alisikia kilio chake na akamponya na kumuongezea miaka 15 ya kuishiYupo mfalme mmoja wa Israel alitumiwa ujumbe kuwa "... weka mambo ya nyumba yako sawa kwamaana hakika utakufa hutapona kamwe" Lakini yeye badala ya kukaa na kusubiri kifo, aligeukia ukutani akamwita Mungu kwa nguvu zote. Mungu alisikia dua yake na kumwongezea siku nyingi za kuishi ili jina la Mungu liinuliwe kupitia uponyaji huo. Nenda kwa Mungu na matumaini makubwa Bwana atakunyanyua tena.
maneno yako yamenichoma sanaDuh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;
Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it was..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.
Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi?
Death is painless ndugu.
Tangulia mkuu, tunakuja!
Candle in the wind.
Love you folk
Da kaka yangu nenda mwenge hapo vinyago tena leo ibada ipo kuanzia saa 4 fika hapo maombi muhimu hata kama utakufa lakini si kwa maumivu hayo hembu ikatae hiyo riport ya dr ishindwe kwa jina la Yesu lipitalo majina yoteNilikuwa ndani ya gari natoka hospitali.
fafanua kidogo mkuu..yamekupa faraja au yamekunyong'onyeza?maneno yako yamenichoma sana