Alishafariki...????R.I.P folk
Bado Mdau Kaonyesha Yupo Active LeoAlishafariki...????
hata Instagram yake amefuta picha zoteeee na profile ameweka picha ya mtoto wake. Pumzika folk 😭😭😭😭Yeye hakutaka kujulikana hata waliowasiliana nae inbox hakuwapa picha yake, nani tena amepewa wengine haki ya kutoa picha yake? Sijui kama ingekuwa wewe ungefurahi kuona picha zako zinazunguka wakati ukubaliki hilo.
Haki ya usiri iheshimiwe mkuu.
Nadhan uachwe tu huu uzi una mengi ya kujifunza na hata fundishoMaxence Melo close this topic
Anatumia id gan insta?hata Instagram yake amefuta picha zoteeee na profile ameweka picha ya mtoto wake. Pumzika folk [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Anatumia id gan insta?
haisaidii amefuta picha zoteAnatumia id gan insta?
Jamaa kweli alifariki nilifuatilia kwa umakini nakukuta kweli alikuwa mnene sanaaaa lakini muda si mrefu alikondaa sanaaaa na akafariki.
R.I.P
Ni nani huyo!??Mbona ni kama patrick kibwana
Mbona ni kama patrick kibwana
Umemuona wapi?Mbona ni kama patrick kibwana