Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Wakuu!

Kutokana na ushauri wangu kwake niliouandika hapa JF, Folk alivutiwa na kunitafuta tuliongea mengi kuhusu afya yake, masuala ya kiroho n.k na mwaka Jana marehemu alifariki Dunia kwa ugonjwa huo huo wa pancreatic cancer.

Hivyo Naomba niwathibitishie bila shaka kwamba Folk alifariki Dunia mwaka Jana na nilihudhuria mazishi na mlolongo mzima wa msiba. Mengine zaidi kumhusu yanabaki kuwa privacy ya familia yake.

Shukrani.
 
Cookie Active Farida Innovator muwekeeni fork beji ya R.I.P
Ushahidi huu hapa
 
Yupo online
 
Na likawa kubwa kweli maana alishafariki!
 
So sad

Yaan so sad

Maskin ...

RIP FORK

JUS REST IN PEACE
 
Mkuu naona sasa utakuwa ushafariki .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…