Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
shida ya saivi hata kama mtu anajijua anao hakuambii ng'00 anataka wote mpate muwe sare sare maua. sasa dawa yake usiamuamini kima yoyote.Kujichunga ni ku abstain, then ndo hayo ma box, pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shida ya saivi hata kama mtu anajijua anao hakuambii ng'00 anataka wote mpate muwe sare sare maua. sasa dawa yake usiamuamini kima yoyote.Kujichunga ni ku abstain, then ndo hayo ma box, pole
Ok Nitakujibu,mkuu inakuaje dozi ya PrEP iweze kuangamiza virusi vilivyoingia mwilini na wamesema havina dawa, au apo nimeshindwa kuelewa sawasawa
Ila kama alikuwa anajua na akakuambukiza kwa makusudi unao uwezo wa kumfungulia mashtka na ukapata Fidia na haki zako japo haziwwzi kurudisha hali yako ila unaweza angalau kupunguza machungu....shida ya saivi hata kama mtu anajijua anao hakuambii ng'00 anataka wote mpate muwe sare sare maua. sasa dawa yake usiamuamini kima yoyote.
ACHA basi maneno hayo.Hongera kwa kuvuta umeme, unit moja sh ngapi?
Naelekea kumpoteza mchumba wangu, nitamueleza nin akanielewa.Mkuu utaliwa hela zako?
Swali la kujiuliza kama kweli anaponya kwanini asiende CTC wapone watu.
Hizo Dawa zake zingekua zinaponya ungekua ushaona watu wanatoa ushuhuda! subir dawa walioifanyia utafiti huko ulaya
Asante mkamilifu, Tambua sikupenda kuingia uku nilipo...Hongera kwa kuvuta umeme, unit moja sh ngapi?
Sina swali mkuu, Mvua nje inanyesha madili yamesimama, kichwani wazo la H.I.V haliondoki, chakula hakipandi.Ok Nitakujibu,
kwanza kuna PrEP na kuna PEP...
PrEP ni Pre Exposure Prophylaxis
PEP ni Post Exposure prophylaxis
PrEP hutumika kabla ya mtu kuwa exposed yaani kwa mfano unaenda kufanya Huduma ambayo unahisi huduma hiyo itakuweka karibu zaidi ya kupata maambukizi huwa unashauriwa kutumia PrEp masaa 2 mpaka 24 kabla ya huduma hiyo...(wanaotumia sana wanajiuza na watumishi wa afya kwa huduma ambazo ni delicate na lazma zifanyike)
Hii huzuia maambukizi yasitokee simply kama nilivyosema awali kuna process ambazo Kirusi hupitia kabla ya kusambaa na kushambulia cells...PrEP ni hizo hizo ART unapewa kwenda kublock hizo process Zisifanyike..
Nikuibie siri tu kati ya Virus wote HIV ni kirusi kilicho weak sana kwahyo unapozuia baadhi kwenye hatua ya mwanzoni unawafanya washindwe kuendelea na kujibadilisha hivyo wanakuwa weak n a mwili unafanya engafing kutumia macrophages na kuwaondoa kwakuwa wanakuwa hawana nguvu wakiwa RNA ...
Kwahiyo ili asifike kwenye Advance stages ndo maana kuna masaa ya hiyo dawa kufanya kazi kwa PrEP nafikiri unjua kuwa ni masaa mawili mpaka 24 kabla ya kazi na inashauriwa tena baada ya kazi apate PEP..
SASA PEP inatolewa baada ya Mtu kuwa exposed na matukio au huduma ambazo anahisi zimemuweka kwenye hatari ya kuambukizwa...
Na hii ina muda ni mpaka masaa 72 baada ya kuwa exposed..
Jinsi inavyofanya kazi ni sawa na Prep..na ni sawa na ART..
una swali..?
Hata lenyewe hapo utalikuta dhambi kibao! Manafiki makubwa! 🚮🚮🚮Nyie walokole mna tabu sana,
Huu ushauri wako ndio utamponya muhusika? Haya nenda kwenye Mahospitali ukawaombee wagonjwa wote ili wapone na warudi majumbani mwao.
Mkuu hauna ukimwi bado una HIV tu..Sina swali mkuu, Mvua nje inanyesha madili yamesimama, kichwani wazo la H.I.V haliondoki, chakula hakipandi.
UKIMWI NI KAMA SIMULIZI YA KUTUNGWA UKIWA KWA MWENZIO NA SIO KWENYE MWILI WAKO, siumwi chochote mwili upo strong lakin kisaikolojia naumwa si kifani
Mkuu sometimes napitia pitia YouTube naona wazungu wanatuchanganya, habari za kugundua dawa naziona tangu miaka 10 iliyopita lakin muendelezo haupo, juzi pia wanasema kuna dawa wanaifanyia majaribio Denmark utaona nayenyewe itaootelea hewan bila mrejesho wowote.Mkuu hauna ukimwi bado una HIV tu..
Kingine Jaribu kujichanganya angalia muvi nenda kaa na marafiki au mwite rafiki yoyote mpige story
Hapana mkuu, hisia zenyew sina, huwez amini tangu niwe positive UUME wangu umesimama siku ya tano baada ya kupata faraja za mitandaoni kidogo ata asubuhi nikiamka ni imelala imesiz.Endelea kuusambaza
Hakuna budi nitamtembeleaNenda kwa Mwamposa
Hamna madhara pelekea watu Moto huo usife mwenyeweHapana mkuu, hisia zenyew sina, huwez amini tangu niwe positive UUME wangu umesimama siku ya tano baada ya kupata faraja za mitandaoni kidogo ata asubuhi nikiamka ni imelala imesiz.
Huu ugonjwa usikie kwa mwenzio sio mwilini mwako. Siumwi chochote ila akili inaumia
Bora wewe una ujasiri wa kupima wengine hadi tuanze kuharaHabari wanaJF, mim ni kijana niliyekuwa ninajichunga na kuijari sana afya yangu kiasi cha kuwa na mabox ya vipimo vya H.I.V rapid test ghetto, ikiwa kama nimejichanganya bas nawahi dawa za PrEP,
Dawa za PrEP nimemeza round mbili yaani 2017, 2020 baada ya kucheza rough.
nilikuwa napima maambukizi na mwenza wangu mara kwa mara, Ivi sasa mwenza wangu anamalizia masomo ili mwakani July tuanze kuishi pamoja. sasa mwez Agosti mwaka huu nimekutana na mwanamke ambae tunameet na kusekx na uwa tunacheki afya sasa mwez huo nikapuuza kwakuwa tulicheki afya mwez May nikamla then maisha yakaendelea,
Mwez Octoba juzi tu nikajaribu kupima peke yangu ghetto nikakutana na mistari miwili CONTROL na 1, nilipima zaid ya mara tano apo apo gheto inasoma mistari miwili. Dah pressure ikawa kubwa.
Nikaenda Hospital napo inaonesha nipo POSITIVE, wakanianzishia dawa za ARV's adi sasa ninamaliza wiki tangu nianze dozi za ARV's. next wiki wananianzishia na dozi ya miezi sita ya Anti-T.B...
Juzi nipo YouTube nakuta kuna shuhuda nyingi sana kwamba kuna Mtaalamu anaponesha ili janga from POSITIVE to NEGATIVE anaitwa TR. MSIGWA, jaman waungwana kuna yeyote mwenye hakika na ili jambo ata ndugu yake alipata kupona kwa uyu docta maana kichwa kinawaka saiz sielewi, nikapata mawasiliano yake akaniambia dozi ni shilling 280k ya siku 45 inaitwa (4A9).
Wajameni ivi ili suala linaukweli dawa iyo ya Asili inasaidia kwa yeyote aliyawahi pata experience hii ata kwa ndugu yake kuhusu uyu mtaalamu TR. MSIGWA na dawa yake ya 4A9 maana ninawiki tu tangu nianze kumeza ARV's lakin naihis hali ya kuzichoka tayar. .
nawasilisha: