Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

Kujichunga ni ku abstain, then ndo hayo ma box, pole
shida ya saivi hata kama mtu anajijua anao hakuambii ng'00 anataka wote mpate muwe sare sare maua. sasa dawa yake usiamuamini kima yoyote.
 
mkuu inakuaje dozi ya PrEP iweze kuangamiza virusi vilivyoingia mwilini na wamesema havina dawa, au apo nimeshindwa kuelewa sawasawa
Ok Nitakujibu,

kwanza kuna PrEP na kuna PEP...

PrEP ni Pre Exposure Prophylaxis
PEP ni Post Exposure prophylaxis

PrEP hutumika kabla ya mtu kuwa exposed yaani kwa mfano unaenda kufanya Huduma ambayo unahisi huduma hiyo itakuweka karibu zaidi ya kupata maambukizi huwa unashauriwa kutumia PrEp masaa 2 mpaka 24 kabla ya huduma hiyo...(wanaotumia sana wanajiuza na watumishi wa afya kwa huduma ambazo ni delicate na lazma zifanyike)

Hii huzuia maambukizi yasitokee simply kama nilivyosema awali kuna process ambazo Kirusi hupitia kabla ya kusambaa na kushambulia cells...PrEP ni hizo hizo ART unapewa kwenda kublock hizo process Zisifanyike..
Nikuibie siri tu kati ya Virus wote HIV ni kirusi kilicho weak sana kwahyo unapozuia baadhi kwenye hatua ya mwanzoni unawafanya washindwe kuendelea na kujibadilisha hivyo wanakuwa weak n a mwili unafanya engafing kutumia macrophages na kuwaondoa kwakuwa wanakuwa hawana nguvu wakiwa RNA ...

Kwahiyo ili asifike kwenye Advance stages ndo maana kuna masaa ya hiyo dawa kufanya kazi kwa PrEP nafikiri unjua kuwa ni masaa mawili mpaka 24 kabla ya kazi na inashauriwa tena baada ya kazi apate PEP..

SASA PEP inatolewa baada ya Mtu kuwa exposed na matukio au huduma ambazo anahisi zimemuweka kwenye hatari ya kuambukizwa...
Na hii ina muda ni mpaka masaa 72 baada ya kuwa exposed..
Jinsi inavyofanya kazi ni sawa na Prep..na ni sawa na ART..
una swali..?
 
shida ya saivi hata kama mtu anajijua anao hakuambii ng'00 anataka wote mpate muwe sare sare maua. sasa dawa yake usiamuamini kima yoyote.
Ila kama alikuwa anajua na akakuambukiza kwa makusudi unao uwezo wa kumfungulia mashtka na ukapata Fidia na haki zako japo haziwwzi kurudisha hali yako ila unaweza angalau kupunguza machungu....
 
Mkuu utaliwa hela zako?

Swali la kujiuliza kama kweli anaponya kwanini asiende CTC wapone watu.

Hizo Dawa zake zingekua zinaponya ungekua ushaona watu wanatoa ushuhuda! subir dawa walioifanyia utafiti huko ulaya
Naelekea kumpoteza mchumba wangu, nitamueleza nin akanielewa.
 
Sina swali mkuu, Mvua nje inanyesha madili yamesimama, kichwani wazo la H.I.V haliondoki, chakula hakipandi.

UKIMWI NI KAMA SIMULIZI YA KUTUNGWA UKIWA KWA MWENZIO NA SIO KWENYE MWILI WAKO, siumwi chochote mwili upo strong lakin kisaikolojia naumwa si kifani
 
Mkuu hauna ukimwi bado una HIV tu..
Kingine Jaribu kujichanganya angalia muvi nenda kaa na marafiki au mwite rafiki yoyote mpige story
 
Mkuu hauna ukimwi bado una HIV tu..
Kingine Jaribu kujichanganya angalia muvi nenda kaa na marafiki au mwite rafiki yoyote mpige story
Mkuu sometimes napitia pitia YouTube naona wazungu wanatuchanganya, habari za kugundua dawa naziona tangu miaka 10 iliyopita lakin muendelezo haupo, juzi pia wanasema kuna dawa wanaifanyia majaribio Denmark utaona nayenyewe itaootelea hewan bila mrejesho wowote.

ivi ni kwel mzungu ameshindwa kuvumbua dawa kwa technologia yote ya kitabibu aliyonayo. .

Kidonge cha ARV ni kinene kinapita kooni kwa taabu.
 
Hamna madhara pelekea watu Moto huo usife mwenyewe
 
Ukimwi unaua.
Kifo ndio mwisho wa maisha.
Ukipenda ngono fahamu kuwa kifo kinakuita, sasa subiri tukuandalie jeneza la futi sita
 
Bora wewe una ujasiri wa kupima wengine hadi tuanze kuhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…