Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Ukifa na hiyo Corona hiyo raw materials itakua haina maana tena.bado ni mapema mno kutabiri kuwa hali itarudi Kama zamani.na hata baada ya kurudi haitakua Kama zamani so don't predict bright future atleast for Now.
Soma text uelewe,nikifa watarithi next of kin
 
Pole dear, hali ni mbaya...Najua jinsi ulivoipambania biashara yako, ila naamini its a matter of time mambo yatakuwa sawa,yaani hii hali imekuwa ngumu mpaka kichwa kinagoma kufikiri. Binafsi nimeamua kuiachia nature tu yenyewe iamue.
 
Kwa bongo hii kukopeshana ni kujivuka kitanzi, mda wowote unaweza kufa. Hata vicoba ambavyo wengine tuliwatumia wake zetu kuwekeza na kukopa nadhani sio sehemu salama kwa sasa.

ah sasa wewe nae uliyataka hayo. yaani ukampe mke wako hela ya vicoba hiyo akili matope?
vicoba akaweke hela yake mwenyewe bwana. mie kama mume jukumu langu nikulipa ada kodi ya nyumba kulipa matibabu kulisha familia na kusaidia wakwe pale inapohitajika. hela ya mke siombi so hiyo ndio akweke kwenye vicoba vyao.
hivi nye wanaume mkishaoa mbona kama vile mnakuwa mmelogwa, mnakuwa na maamuzi ya kupuuzi sometimes au mnasahau kuwa huyo mke mlimnunua hivyo wewe ndio kibosile ndani ya nyumba?
 
kabisa yaani. sasa unajua sometimes haya mambo tunajitakia wenyewe. yaani kukosa uaminifu ndio unatuponza wengi lah sivyo tungekuwa twakopeshana wenyewe kwa wenyewe tuu.
Watu weupe wote wanafanikiwa kwa Mali kauli sababu ya mtaji wa uaminifu.Nataka nifanye biashara ya mabus Sina mtaji wanamfata muuza mabus anawapa, kiwandani unapewa bidhaa,bank unapewa kwa dhamana ndogo tu fanya hivo kwa mswahili uvune mabua
 
Dah, mzabzab umeni-attack mbaya mzee, ilà sio vibaya, haya ni maoni yako nayaheshimu bila shida. Nimefanya hivyo kwa miaka miwili na matokeo yake kwangu ni positive. It doesn't matter where the money comes from, unawekeza 10mil, unaweza kukopa 3x ya hela uliyowekeza, unafanya miradi yako na maisha yanasonga. Kwako mke anaweza kuwa wa "kugegeda" tu, kwa wengine ni life partner, hiyo ndio tofauti yetu mkuu mzabzab.
 
Watu weupe wote wanafanikiwa kwa Mali kauli sababu ya mtaji wa uaminifu.Nataka nifanye biashara ya mabus Sina mtaji wanamfata muuza mabus anawapa, kiwandani unapewa bidhaa,bank unapewa kwa dhamana ndogo tu fanya hivo kwa mswahili uvune mabua

ah wabongo shida sana, yaani umasikini twajiletea wenyewe kabisa
 

safi mzee. kweli kila mtu na aheshimu mtazamo wa mwenzie.
 
Pole my dear na si wewe tu almost kila mtu analia na yake, hata wafanyakazi hasa hizi private sectors wako hatarini kupoteza ajira, so sad hili janga litupishe tu, mi nakaribia kurudisha mpira kwa kipa pia narudi zangu kijijini kulima .[emoji25]
Unaakili sanaa mimi nshakimbia kitambo mjini nalima zangu mahindi kilosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ingefaa kutoa tamko ifanyeje kuwanusuru wafanya biashara na wale wenye mikopo. Baadae kutazidi kuwa kugumu. Ila ipo siku yatapita
 
Nina wiki ga tatu kitabu changu kina ex ex. Mikasi kama yote na ni kikoba ambacho nimejiubga mi mpya hawanijui kivile sasa sijui watakifuta [emoji17][emoji17][emoji17]
Kwa bongo hii kukopeshana ni kujivuka kitanzi, mda wowote unaweza kufa. Hata vicoba ambavyo wengine tuliwatumia wake zetu kuwekeza na kukopa nadhani sio sehemu salama kwa sasa.
 
Wewe hauna mke.
Unao wa kugegeda wasio na idadi.
Mambo ya mke na mume waachie wenyewe.
 
Wakati unandika haya umewafikiria walimu na wafanyakazi wa private schools? Kiukweli mie hapa naitamani hata hiyo ajira ya laki 5 wakati huu.
Ndiyo maana watu wanapenda ajira sababu hela yake hata kama ni ndogo lakini ni ya UHAKIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…