mbona povu?!Utakuwa hujitambui. Mitandaoni humu kunawafqnya mjisahau hadhi yenu kama Taifa maskini. Kama wewe huna nchi itakuwa nayo. Lipa Kodi nk.
Tena shukuru Mungu Hakuna total lockdown. Fuata masharti. Jilinde na mlinde mwenzako. Nawazaga watu kama nyie ndo kama yule jamaa wa Mwanza aliyetoka Dubai akazunguka dar siku 2-3. then akaenda mwanza akakutwa na corona. Watanzania hatuweza LOLOTE kama hatutajifunza kuwa responsible for our actions. Na Tuanze kwa watoto. Sisi kazi yetu majungu na kuhisi kuwa tulipaswa kufanyiwa kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya, Tuambie inaisha lini?😂😂😂😂 kwani corona inakaa milele mkuu?
Na wao wanafahamu hali halisi.Na ukiwa mwaminifu hata benki huendi. Suppliers wanakupa mzigo hadi unakataa. Hapa inabidi niwalipe suppliers, nafikiria na hali hii niwalipe what if tuki-lockdown kesho itakuwaje. Nisipowalipa naharibu credit score soon nitapoteza credit facility. Nina siku mbili za kuamua.
Binafsi naona ni sawa ila kwa issue ya Covid-19 oja ripple effects kwenye uchumi kwa sababu itaathiri biashara moja na madhara hayo yanaathiri biashara nyingine. Mfano halisi ni biashara zinazohitaji mikusanyiko au hafla.Diversify your investments, kua na miradi tofauti, ukitegemea mfano restaurant peke yake janga kama hili linatokea unakufa. Kua na biashara tofauti moja ikifa nyingine inasurvive. Na savings ni muhimu sana, kitu kama hiki kikitokea uwe na uwezo wa kujifungia ndani hata mwaka na bado ukala vizuri.
Entrepreneurship sio easy, ila upside yake ni kubwa mno that’s why we do it, there’s no limit to what you can achieve. Mtegemea mshahara kama limit yake ni milioni kwa mwezi anastuck hapohapo tu, ovyo kabisa
Diversification ya biashara kwenye hili janga ni kama haina maana.Diversify your investments, kua na miradi tofauti, ukitegemea mfano restaurant peke yake janga kama hili linatokea unakufa. Kua na biashara tofauti moja ikifa nyingine inasurvive. Na savings ni muhimu sana, kitu kama hiki kikitokea uwe na uwezo wa kujifungia ndani hata mwaka na bado ukala vizuri.
Entrepreneurship sio easy, ila upside yake ni kubwa mno that’s why we do it, there’s no limit to what you can achieve. Mtegemea mshahara kama limit yake ni milioni kwa mwezi anastuck hapohapo tu, ovyo kabisa
Pwapwaaa! [emoji23][emoji23] aisee hii ni XXLNyoeni na hizo rasta sasa
Kama diversification ni kua na hoteli na baa basi sio diversification hiyo, hizo biashara mbili uendeshaji wake unaendana kwa asilimia kubwa mno, portfolio nayoongelea mimi ni vitu ambavyo uhusiano wake ni mdogo na unakua na biashara nyingi sio moja wala mbili, kama uko mwanzoni basi moja si mbaya ila kama umekua na biashara moja ikakua vizuri kabisa na profit kibao alafu hujaanzisha nyingine una matatizo ya akili.Mfano mfanyakazi wa hotel za kitalii ame diversify kwa kuwa na tenda za kupeleka bidhaa mahotelini, ana miliki bar na anaendesha sehemu ya betting
Niambie huyu "diversifyer" anachomokea wapi?
Ku diversify ni mbinu general ya ku minimize risk, lakini huyu Corona anapiga kotekote
Hata kwenye zile biashara ambazo zinaoneka hazijaguswa na Corona, faida zimeshuka..... Uliza uambiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema ni rahisi, nimeandika kabiaa ujasiriamali ni mgumu, sio for everybody, wengi tumefeli mara kibao karibia tuwe diagnosed na clinical depression ila we kept on fighting hadi kufikia tulipo. Its not for the 95% naweza sema. Ila the upside is bigIngekuwa rahisi kama unavyoandika hapa wote tungekuwa na biashara kumi kumi.
Online business zimekua, watu wananunua sana online vitu vinakua delivered nyumbani, so sio hospital tu, zipo business kibao za kupiga hela.Kipindi hiki labda uwe na hospital ndio utapiga bao na tunaelekea kwa lock down
Ni kweli biashara nyingi sana zitakufa ila si zote. Zipo ambazo zinapanda sana kwenye huu mlipuko. Watu wameanza hadi kutengeneza mask za vitenge wanauza 2k. Kuna watu wanapiga 500K kila siku kwa hizi mask na hapo mtaji kaspend kama 50k tu, hiyo ni close to 1000% very good business kukusanya cash mtu anakaa ndani miezi kadhaa ana hela ya kusurvive hili lipite.Binafsi naona ni sawa ila kwa issue ya Covid-19 oja ripple effects kwenye uchumi kwa sababu itaathiri biashara moja na madhara hayo yanaathiri biashara nyingine. Mfano halisi ni biashara zinazohitaji mikusanyiko au hafla.
Niliagiza mzigo Alibsba tangu february umekwama uko uchinani juzi nimeona pia Amazoni wanasitisha kutuma baadhi ya bishaa ili wadili na bidhaa za afya tu i.e masks sanitizers na vipima jotoOnline business zimekua, watu wananunua sana online vitu vinakua delivered nyumbani, so sio hospital tu, zipo business kibao za kupiga hela.
Niliagiza mzigo Alibsba tangu february umekwama uko uchinani juzi nimeona pia Amazoni wanasitisha kutuma baadhi ya bishaa ili wadili na bidhaa za afya tu i.e masks sanitizers na vipima joto
Saivi biashara yeyote unayoifanya iangalie inaweza kusurvive lockdown ?
Kuna mdau alitoa wazo jana la biashara ya sanitize fumigation hio niliiona iko valid sana labda akwamishwe na wanasiasa ila ikitokea lockdown pia atakua out of business
🤣 🤣 🤣 🤣 Kaka hiyo neema ukiipata usinisahau mdogo wako
Mimi nimekimbia ofisi juz kat wamepiga mnada furniture za ofis yangu wateja wangu wengi ni mashule na makampuni ya utalii
Pia niliagiza mizigo china imekwama uko tangu february ndugu mteja anataka refund alaf mkulungwa niko juu ya mawe balaa
Yaan kua CEO wa vikampuni uchwara ni stress balaa kuitwa tapeli nje nje yaan
Online business kwa context ya Tanzania ipi inakua?Online business zimekua, watu wananunua sana online vitu vinakua delivered nyumbani, so sio hospital tu, zipo business kibao za kupiga hela.
Namna gani wakati serikali haina hela na kuanzia mwezi ujao haijui italipaje mishahara
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa yaani. sasa unajua sometimes haya mambo tunajitakia wenyewe. yaani kukosa uaminifu ndio unatuponza wengi lah sivyo tungekuwa twakopeshana wenyewe kwa wenyewe tuu.
Ndiyo maana watu wanapenda ajira sababu hela yake hata kama ni ndogo lakini ni ya UHAKIKA.
Mmh haya kwa hali hii umenikopesha na rejesho unalitaka nikikwambia mambo hayaendi utanielewa kweli??kukopeshwa na bank kukopeshwa na mtu binafsi kwa wakati huu hali si hali