Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Hata kwenye dhiki ya namna gani uchakataji papuchi uko palepale tu. Labda kama wewe mwenyewe utasitisha zoezi
Nimecheka sana niliposoma ile habari ya watu wa uganda waliowekwa karantini hotelini. Jamaa wameanza kuchakatana humo humo hotelini wanaume wamehama vyumba wamehamia kwa wadada..!!😂😂
 
Alafu kuna mazoba yanalilia lock down,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walioniacha hoi ni watu wa mabank.
Mikopo wamesitisha kutoa kwa wateja wenye biashara zilizoathirika kwa asilimia kubwa na hata wanaobahatika kuendelea kuchukua mkopo kiwango wamepunguza.
Lakini kukaa mezani na wateja wao kufanya rescheduling kuona mkopo utalipwaje kwa kipindi hiki hawataki wanadai kwa karaha sana.
Nabaki natoa macho.
Hata wakipiga mnada ni ujinga tu unapoteza wateja na mnada unaweza usifanikiwe.
 
Poleni sana na hili litapita tu, ni vyema mkakumbuka kuweka akiba ya fedha ya kutosha maana hili janga hakuna ajuaye litaisha lini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

yaani hapa ndipo unapojua kuwa mabenki ni wezi tuu.....kwa sababu katika hali kama hii ya sasa wanatakiwa kuwa na ufikirio maana kushindwa kurudisha mkopo kwa muda huu sio kutokana na uzembe wa mkopaji bali kutokana na unforeseen circumstances ambazo zipo nje ya uwezo wa mwanadamu yoyote yule.
 
Hii ni kweli naona dispensary ya mtaani haoa kuna foleni kubwa hasa asubuhi na jioni.
Viwanda vinavyozalisha vifaa vya tiba na product mbalimbali za afya ndio zinazoingiza sana faida kwa Sasa
Na bado wataendelea kufaidika sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana niliposoma ile habari ya watu wa uganda waliowekwa karantini hotelini. Jamaa wameanza kuchakatana humo humo hotelini wanaume wamehama vyumba wamehamia kwa wadada..!!😂😂
Nashangaa huyo jamaa anaesema hilo suala haliwezekani
 
Nikipindi kigumu sana kiuchumi. Na bado hali itaendelea kukaza ko hata ambao hawajaathirika wachukue tahadhali. Lakini sidhani kama kulalamika kusikitika na kulialia inaweza tusaidia. Badala yake tutumie akili na tuumize vichwa kweli kweli kutafta upenyo wakutokea. Mwenyezi Mungu hajawahi kumuonea mtu ko matukio yote yanayotutokea tunayastahili . Huenda kuna uwezo flani tunajengewa,huenda kuna somo tunapewa,huenda kuna watu tunatengwa nao pia huenda tunaandaliwa kuwa majasiri na watu makini kesho. Kwahiyo ndugu zangu tuumize vichwa vyetu kwelikweli huku tukimuomba mungu atupe suluhisho la changamoto tunazopitia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ni kuomba serikali itoe tamko aise.
Hivi BOT na CRB wana kazi gani? Ujue nimeshangaa sana nilitegemea uchumi kusimama walau banks na hizi financial institutions zitakaa chini na wateja wao kujua wanafanyaje.
Cha ajabu wanadai Chao tena full na ukimaliza hukopeshwi tena.
Shule za binafsi mishahara zitashindwa kulipa..
Benki zinatakiwa kusitisha kudai vinginenevyo hatari sana
 
Kwa kweli sisi wakurugenzi uchwara tunaisoma no.
Pole sana mkuu kwa mnada.
 
Na hao kuku wakisasa wanavokula Sasa then ukose soko aisee hii corona iishe haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wanakula zaidi ya mchwa.
Kuna siku alikosa hela ya gunia kuwananunulia yakaanza kupiga kelele.
Akayaacha hapo akaja kwangu kulala ndo ikaja akili ya kuwachinja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…