RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Location wapi nije nikuungishe, hii Corona tunakaa sana ndani inabidi stock iwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Location wapi nije nikuungishe, hii Corona tunakaa sana ndani inabidi stock iwepo.
Tafadhali tupe location nije ninywe JD ama Jagger Master......
Naijua ile changamoto, ila chamsingi umesema utarejea mchezoni Mungu akubariki.Wewe wajua nimezunguka taasisi 3 ili nizibe kwenye lile tatizo jibu nalokutana nalo corona.
Hata wale wadhamini tu wa kawaida nao corona imewagusa kiasi cha kwamba hakuna kitu kinachotendeka.
Pole Sana'a mamii,ngoja nikutumie bas kidogo walauHakika ni kumuomba Mwenyezi Mungu hili balaa lisiendelee kuiathiri Nchi yetu. Maana hapa biashara zangu fulani zilizokua zinanipa pesa ya kula nje ya mshahara wangu muelekeo wake sio mzuri kama hapo mwanzo.
Ni kuendelea kupambana na kumuomba Mwenyezi Mungu,kwa upande wangu sitegemei kuifunga itaendelea hivyohivyo mpaka pale hali itakapotengemaa tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye dhiki ya namna gani uchakataji papuchi uko palepale tu. Labda kama wewe mwenyewe utasitisha zoezi
Nimecheka sana niliposoma ile habari ya watu wa uganda waliowekwa karantini hotelini. Jamaa wameanza kuchakatana humo humo hotelini wanaume wamehama vyumba wamehamia kwa wadada..!![emoji23][emoji23]
AminaEee Mungu tunaomba toba na rehema, wewe ni Mungu unaerehemu, ni Mungu unaeponya, ni Mungu unaesamehe. Samehe Baba, ponya Baba na uturehemu pale tulipokwenda kinyume na mapenzi yako, Baba tunaomba utuvushe kwenye janga hili, tunajua kuna magonjwa mengi yanayochukua uhai wa binadamu lakini katika hili tumeshindwa Baba, dunia imejaa hofu na woga, dunia inaomboleza, hatujui mwisho wetu utakuwaje, Mungu tunaomba maisha yetu yarudi kama tulivyokuwa tukiishi siku zote, tumekutenda dhambi lakini Baba kumbuka rehema na uondoe ghadhabu juu ya nchi, watu wanaangamia kwa njaa, maisha magumu kwa kuwa hakuna kazi, watoto wanatamani kwenda shule lkn hawewezi tena, kumbuka rehema sawa sawa na neno lako kutoka Habakuki 3:1-2..Amen!
Rais hapaswi kulaumiwa kwa hili tupambane sote kwa pamojaHii thread imenigusa sana. Wajasiriamali ni watu yatima hasa hawa wanaochipukia . Kwa TZ hatuna Serikali. Rais naye yuko pale kama mwajiriwa tu.. anamtegemea Mungu ..yani he cant think, he cant take advice, he cant impliment any precautions, na alipuuzia hadi tumefika huku.
Shit!
Kwani we sio binadamu? au mwenzetu umeokolewa kama nuhu ?Wanadamu bana hamjui kwamba habari yenu kwisha!!!
mmefika ukingoni...!!!
Kwani hawalipwi mshahara
Labda wanafanya kwanza mazungumzo huwezitoa tamko km hilo bila kuwashirikisha wadau muhimu.Serikali ingefaa kutoa tamko ifanyeje kuwanusuru wafanya biashara na wale wenye mikopo. Baadae kutazidi kuwa kugumu. Ila ipo siku yatapita
Niunganishe hapo kwenye limao sokoni zimekuwa dealHuku nilipokuja nilitaka niingiwie na tamaa nikicheki mkaa gunia buku 8k, limao mmoja shambani bei yake ni shilling 10 ya kitanzania. Kuku ni kama bei ya singida tu.
Nikawaza nikawazua nikajisemea nikomae ni kitu kimmoja tu kilichonitoa dar na si kingine bali 'mawe'
Maana nikitaka vyote nitarudi kulekule kwa mwanzo.
Kwaiyo kama usemavyo ni vizuri ku deal na kitu kimoja tu.
Nawaonea huruma waliowekeza hela zao kwa Mr Kuku eti baada ya miezi 6 zina double mara mbili.Shogangu alikuwa anategemea Hotel kuuza kuku wake wa nyama.
Sasa wiki ya pili hakuna biashara kuku wameshakula faida na kiasi cha mtaji alichofanya ni kuwachinja baadhi kuwaweka kwenye friza wengine amewajza na mabarafu kwenye madeli anatembea nao kwenye gari ikitokea zali njiani kakuta kibanda vha chips anauza.
Usifikiri kila anae comment hapa ni binadamu kama ww.....
Kuna mzigo niliagiza nje , Siku napata bill of loading ndo korona nayo imeshachangamka, halafu kibaya nilikuwa nategemea kulipwa na kiwanda fulani ili nipate kuukomboa mzigo bandarini, kwa bahati mbaya hicho kiwanda kimefungwa na mchina karudi kwako kenya , yani nimechangamyikiwa had basi
Meli inaingia tarehe Kumi ila wala sioni dalili za kupata hiyo pesa , nahisi kupoteza mzigo kwa storage na kodi
Hata kama tukipona korona itatuacha na umasikini uliotopea
Sent using Jamii Forums mobile app