Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Mara nyingi unaweza kudhani kwamba upo salama na umezungukwa na watu wanaokutakia mafanikio na kumbe ni kinyume chake.
Kuna mtu pale Halmashauri nilimuomba nimuweke kwenye CV yangu kama referee akakubali.
Nikampa rafiki yangu namba yake ampigie ajitambulishe kama HR officer wa shirika fulani na amuombe taarifa zangu kwani anataka kunipa nafasi ya kujitolea kwenye Hilo shirika, tukaweka loud speaker.
Huyo Referee wangu wa Halmashauri akaanza kumuambia; huyo kijana hakufai, kwanza Hana communication skills na punctuality nzuri. Tafuta vijana wengine. Ameongea mengi mazito ya negative kuhusu Mimi. Bila yeye kujua kwamba ni Mimi😅🖐🏿
Unavyodhani ndivyo sivyo, sivyo ndivyo 🎶🎶🎚️🎛️.. Prof Jay ft Chameleon