Nimeamini Kikulacho ki nguoni mwako na mchawi hatoki mbali

Nimeamini Kikulacho ki nguoni mwako na mchawi hatoki mbali

dah sio poa

umenipa akili kuna mtu nitamtesi na yy atatoa taarifa zipo kuhusu mm

jamaa yangu mmoja kwa ss uko vizur kweny taasisi moja hvi nilimuomba nimuweke reference kweny cv yangu

alikuwa mtu wamashindano sn anaweza ukazani mwana kumbe akakugeuka ukajuta kwakwel
 
JE tabia mbaya unazo? Na kwanini umjaribu mtu kama hakuna shida yoyote?
 
Kwenye kila familia ya Waafrika kuna mchawi, fulusitopu

halafu hakuna kitu anachopata kwa ulozi anaofanya zaidi ya kujichosha roho na akili 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ukiwa na mafanikio ni ngumu kuwajua masinich,maisha yakiyumba ndio unapata somo zuri na kujua watu wema na wabaya
 
Pole sana..mimi ndugu zangu watoto wa mama mkubwa walinifichia vyeti vyangu ,mbaya zaidi baada ya siku kadhaa wakavitupa chooni na hii nilikuja kuifahamu baada ya mwaka kupita.

Sababu kubwa nishindwe kupata kazi niliyokuwa naifatilia...ila sijawahi kuwaa mbia na nishasamehe mara 70'.
Duuhhhh aiseee mbona walikufanyia ukatili sana huo
 
Aisee nitamficha kila mtu lakini sio mke wangu au watoto wangu.
Asante. Kuna aliye RIP akiwa na nyumba sehemu hakuna aliyejua. Wapangaji wakaishi bure miaka 7. ndugu yake mmoja siku hiyo akaona achambue makaratasi ya marehemu meeengi ili atupe yasiyo na maana ndio anaona tarifa ya hiyo nyumba akafuatilia. Kumbuka zamani hakuna simu za mkononi mtu anafuata kodi yake kila mwezi. Wapangaji wakasema tumekaa bure hatujui tumpe nani pesa. Mwingine aliugua hernia akafa ghafla kumbe alikuwa na biashara na rafiki yake na viwanja walinunua. Rafiki alijikausha familia ikaishia kuteseka.
 
Ulichofanya sio sahihi..sawa na kua na mpenzi wako halafu ukatafuta mtu amtongoze makusudi kupima uaminifu wake.
 
Asante. Kuna aliye RIP akiwa na nyumba sehemu hakuna aliyejua. Wapangaji wakaishi bure miaka 7. ndugu yake mmoja siku hiyo akaona achambue makaratasi ya marehemu meeengi ili atupe yasiyo na maana ndio anaona tarifa ya hiyo nyumba akafuatilia. Kumbuka zamani hakuna simu za mkononi mtu anafuata kodi yake kila mwezi. Wapangaji wakasema tumekaa bure hatujui tumpe nani pesa. Mwingine aliugua hernia akafa ghafla kumbe alikuwa na biashara na rafiki yake na viwanja walinunua. Rafiki alijikausha familia ikaishia kuteseka.
Hakuna haja yakufanya siri hasa mambo ya fedha na mkeo.
 
Hakuna haja yakufanya siri hasa mambo ya fedha na mkeo.
Ni kuwa makini. Kuna katabia ka wamama fulani akijua una vitega uchumi anakuondoa ili vibaki kwake.
Mi nadhani bora umshirikishe mtu yeyote akiemwaminifu kwako.

Kuna mzee mmoja baada ya kubaini tabia za kipumbavu za mkewake akaanza kuficha taarifa za baadhi ya miradi yake ila siri ikabaki kwa watu aliowaamini yeye
 
Back
Top Bottom