Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwanini uliamua kumjaribu huyo rafiki yako?
Hivi unajisikiaje mtu anapokufanyia majaribio?
Hivi unajisikiaje mtu anapokufanyia majaribio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wa upendo alinionyesha .baada mikasa mingi kupita ila nilifumbwa kwa muda mrefu .kila lenye mwanzo halikosi mwisho omba yasikukute .rafiki wa kweli ni mungu tu.kila uchwao wanadamu tunawaziana mabaya tu kila mungu ndo kimbilio letuUlijuaje
Ni Mungu na siyo mungu.Mungu wa upendo alinionyesha .baada mikasa mingi kupita ila nilifumbwa kwa muda mrefu .kila lenye mwanzo halikosi mwisho omba yasikukute .rafiki wa kweli ni mungu tu.kila uchwao wanadamu tunawaziana mabaya tu kila mungu ndo kimbilio letu
[emoji3][emoji3][emoji3]Au ukamtoboa na punch machine
Hongera,ulijifunza jambo naaminiNilishtuka kinoma, ndio mara ya kwanza nilikutana na traitor.
Mbaya zaidi nilimshinda kwenye lile kwa aibu.
Sema alikuwa mtu wa figisu na mtengeneza majungu sana.
Hujaelewa nini bossi.Hujaeleweka
Nilijifunza mambo mengi sana, kuishi na mtu mnafiki. Yule jamaa alikuwa mnafiki wa kiwango cha juu.Hongera,ulijifunza jambo naamini
mtu kama huyo dawa yake ni kurecord hiyo simu yote halafu unamtumia voice note usikie atakavyojing'ata ng'ata.Mara nyingi unaweza kudhani kwamba upo salama na umezungukwa na watu wanaokutakia mafanikio na kumbe ni kinyume chake.
Kuna mtu pale Halmashauri nilimuomba nimuweke kwenye CV yangu kama referee akakubali.
Nikampa rafiki yangu namba yake ampigie ajitambulishe kama HR officer wa shirika flani na amuombe details zangu kwani anataka kunipa nafasi ya kujitolea kwenye Hilo shirika, tukaweka loud speaker.
Huyo Referee wangu wa Halmashauri akaanza kumuambia; huyo kijana hakufai, kwanza Hana communication skills na punctuality nzuri. Tafuta vijana wengine. Ameongea mengi mazito ya negative kuhusu Mimi. Bila yeye kujua kwamba ni Mimi😅🖐🏿
Unavyodhani ndivyo sivyo, sivyo ndivyo 🎶🎶🎚️🎛️.. Prof Jay ft Chameleon
Umeandika ninja mkuuNi Mungu na siyo mungu.
Hilo jitu unalivuta nje unalipiga mangumi kadhaa . Watu kama hao wanaibiwa wake zaoHata mimi iliwahi nitokea situation ya hivi, kuna jinga moja tena ni jinga kweli kweli. Yaani nilitengeneza mchongo wangu mwenyewe ambao haukuwa na effect kwa yeyote kiofisi,
sasa lile jinga nilikuwa sijajua kama ni jinga la kutupwa nikalielezea ule mchongo na jinsi ulivyonisaidia kutengeneza pesa iliyonitoa sehemu ngumu kidogo, ebwana eeh imepita kama miezi 3 hivi mi nshasahau kabisa ule mchongo
Tupo kwenye kikao cha utendaji cha kawaida, sasa kuna watu walikuwa wana mikopo kwenye ile taasisi pamoja na lile jinga, hamadi jamaa anasema halipi mpaka na mimi nilipe ile pesa niliyomweleza almost three months back.
Likasema mchongo wote pale mbele ya wadau, unajua tena watu walivyona wivu! Nilijikuta nalitukana lile jinga mbele ya mkuu wa kazi.
Can u imagine huyu ni mtu aliyekuwa karibu yangu kinoma mshikaji ile kinoma, mvivu sana, anajua kutega sana yote haya nilikuwa namzibia mashimo! Kazi zake nyingi nilikuwa namsaidia lakini alikuja kunigeuka kisa dili la milion.
Duh. Haya!Elezea hapa
Tupo kwenye kikao cha utendaji cha kawaida, sasa kuna watu walikuwa wana mikopo kwenye ile taasisi pamoja na lile jinga, hamadi jamaa anasema halipi mpaka na mimi nilipe ile pesa niliyomweleza almost three months back.
Sasa urudishe pesa ya nnDuh. Haya!
Huyo jamaa niliyemuita jinga alikuwa mshikaji wangu wa karibu na hata kwenye hiyo kazi nilimkuta, kwenye mihangaiko ya kazi ikatokea dili nikaipiga...nilitumia jina la ofisi lakini haikuwa na impact yoyote kwa ofisi.
Na wakati huo kuna jambo langu lililokuwa linahitaji pesa kidogo.(huyu jinga alikuwa analijua) so ile dili hakuna aliyejua kama imeniingizia pesa ya ziada milion na ushee hivi.
Baada ya kutatua lile jambo langu, si nikawa nampa huyo jinga hiyo habari kama ushuhuda tu, the way nilivyopata hiyo pesa.
Sasa Ofisini kuna watu waliokuwa wamekopa pesa (hapo ofisini sometimes mhasibu huwa anawakopesha wafanyakazi then wakipata wanazirudisha).
Sasa siku tuko kwenye kikao mkuu analigusia swala la madeni na watu wanaambiwa walipe, lile jinga nalo lilikuwa limekopa. Hapo ndio akarise hiyo hoja yeye deni lake halipi hadi mimi nilipe kiasi cha pesa nilichokipata kupitia kazi flani...kila mtu akahamaki pale ndani kumbuka ni kazi iliyofanyika karibia miezi mitatu huko nyuma, yaani jamaa akawasimulia staff each and everything mpaka lile jambo la kifamilia alilokuwa analifahamu yeye tu.
Alinisaliti yule boya ila nilimshinda, japo kuwa watu waliniona mpigaji. Ile kazi ingekuwa na dosari mambo yangekuwa magumu.
Ww ulimuhisi jamaa wa watu kisa mpoleMungu wa upendo alinionyesha .baada mikasa mingi kupita ila nilifumbwa kwa muda mrefu .kila lenye mwanzo halikosi mwisho omba yasikukute .rafiki wa kweli ni mungu tu.kila uchwao wanadamu tunawaziana mabaya tu kila mungu ndo kimbilio letu
Huo ndio ukweli, mimi mwenyewe nimewahi kukaa na wazazi nimefanya mambo kibao lakin ilikuwa kama natwanga maji kwenye kinu.Ukitaka kuishi vizurii na rafiki au ndugu usikae nao karibu!! Waulize watu wanaoishi na wazazi, watakupa uzoefu!! Wale walio mbali ndio huwa bora kuliko wanaohangaika nao kila siku!!
KabisaKwanza niwape big up wote wanajamii,
Experience ndogo nilioyo nayo job, hata watu wakuzidi kila kitu elimu, cheo, mshahara, kipato, magari, nyumba ila mfano wakiwa wanafahamu wewe shida tupu ila ni brain sana bado watakuonea wivu, sikuwahi kujua kipawa ni kero hata ukiwa wa kawaida
HahahahaHuo ndio ukweli, mimi mwenyewe nimewahi kukaa na wazazi nimefanya mambo kibao lakin ilikuwa kama natwanga maji kwenye kinu.
Ndg zangu walikuwa mkoa mwingine wakifanya kadogo sifa kibao.