Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
I agree...! unafiki ni mkali mno + wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa siamini mutu yeyote.I TRUST ME AND MY GODS
Pole Sana mkuu, Bora huyo rafiki kuna wengine ndugu wa damu kabisaHao ndio wananzengo kasahau yote kisa kununua pale..alijua nilipopata shida ya kiafya sitofanya maendeleo sitopata tena watoto nitaishia mmoja tu..wanapenda kuona tunateseka..
MKUU,wewe unafikiri GOD na GODS ni tofauti?God mkuu sio Gods
Trust no one one but live with any one
Hata mimi iliwahi nitokea situation ya hivi, kuna jinga moja tena ni jinga kweli kweli. Yaani nilitengeneza mchongo wangu mwenyewe ambao haukuwa na effect kwa yeyote kiofisi,Mimi jamaa yangu wa karibu kabisa niliemwamini nilimdokeza taarifa nyeti kabisa ya kifedha ambayo ilikuwa inaenda kula kwake na boss hee asienda kunichoma kwa boss boss akaniita kwenye kikao Cha Kama kunituhumu hivi na Hilo jopo lake namimi kwa kiburi sikwenda nampka Leo hawaamini trend ya kazi ilivyodorora aisee usimuamini mtu.
siku nyingine vyanzo vyabmapato usiviseme hatabkwa mkeo.kufa navyo hata akaunt unayoficha hela piga kimya.Hata mimi iliwahi nitokea situation ya hivi, kuna jinga moja tena ni jinga kweli kweli. Yaani nilitengeneza mchongo wangu mwenyewe ambao haukuwa na effect kwa yeyote kiofisi,
sasa lile jinga nilikuwa sijajua kama ni jinga la kutupwa nikalielezea ule mchongo na jinsi ulivyonisaidia kutengeneza pesa iliyonitoa sehemu ngumu kidogo, ebwana eeh imepita kama miezi 3 hivi mi nshasahau kabisa ule mchongo
Tupo kwenye kikao cha utendaji cha kawaida, sasa kuna watu walikuwa wana mikopo kwenye ile taasisi pamoja na lile jinga, hamadi jamaa anasema halipi mpaka na mimi nilipe ile pesa niliyomweleza almost three months back.
Likasema mchongo wote pale mbele ya wadau, unajua tena watu walivyona wivu! Nilijikuta nalitukana lile jinga mbele ya mkuu wa kazi.
Can u imagine huyu ni mtu aliyekuwa karibu yangu kinoma mshikaji ile kinoma, mvivu sana, anajua kutega sana yote haya nilikuwa namzibia mashimo! Kazi zake nyingi nilikuwa namsaidia lakini alikuja kunigeuka kisa dili la milion.
😂😂watu wa bad hiviMara nyingi unaweza kudhani kwamba upo salama na umezungukwa na watu wanaokutakia mafanikio na kumbe ni kinyume chake.
Kuna mtu pale Halmashauri nilimuomba nimuweke kwenye CV yangu kama referee akakubali.
Nikampa rafiki yangu namba yake ampigie ajitambulishe kama HR officer wa shirika flani na amuombe details zangu kwani anataka kunipa nafasi ya kujitolea kwenye Hilo shirika, tukaweka loud speaker.
Huyo Referee wangu wa Halmashauri akaanza kumuambia; huyo kijana hakufai, kwanza Hana communication skills na punctuality nzuri. Tafuta vijana wengine. Ameongea mengi mazito ya negative kuhusu Mimi. Bila yeye kujua kwamba ni Mimi😅🖐🏿
Unavyodhani ndivyo sivyo, sivyo ndivyo 🎶🎶🎚️🎛️.. Prof Jay ft Chameleon
Aisee nitamficha kila mtu lakini sio mke wangu au watoto wangu.siku nyingine vyanzo vyabmapato usiviseme hatabkwa mkeo.kufa navyo hata akaunt unayoficha hela piga kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji3]Nimeimagine ulivyopigwa bumbuazi wakati jamaa anamwaga point zako dah...unaeza mpiga na staplerHata mimi iliwahi nitokea situation ya hivi, kuna jinga moja tena ni jinga kweli kweli. Yaani nilitengeneza mchongo wangu mwenyewe ambao haukuwa na effect kwa yeyote kiofisi,
sasa lile jinga nilikuwa sijajua kama ni jinga la kutupwa nikalielezea ule mchongo na jinsi ulivyonisaidia kutengeneza pesa iliyonitoa sehemu ngumu kidogo, ebwana eeh imepita kama miezi 3 hivi mi nshasahau kabisa ule mchongo
Tupo kwenye kikao cha utendaji cha kawaida, sasa kuna watu walikuwa wana mikopo kwenye ile taasisi pamoja na lile jinga, hamadi jamaa anasema halipi mpaka na mimi nilipe ile pesa niliyomweleza almost three months back.
Likasema mchongo wote pale mbele ya wadau, unajua tena watu walivyona wivu! Nilijikuta nalitukana lile jinga mbele ya mkuu wa kazi.
Can u imagine huyu ni mtu aliyekuwa karibu yangu kinoma mshikaji ile kinoma, mvivu sana, anajua kutega sana yote haya nilikuwa namzibia mashimo! Kazi zake nyingi nilikuwa namsaidia lakini alikuja kunigeuka kisa dili la milion.
🤣🤣🤣 Maana ya referee ni kuelezea ukweli kuhusu wewe.hivyo huyo jamaa amesema ukweli.cha kufanya ni wewe kubadilika.Ila pia na wewe siyo mtu mzuri si unaona umeanza kumchunguzaMara nyingi unaweza kudhani kwamba upo salama na umezungukwa na watu wanaokutakia mafanikio na kumbe ni kinyume chake.
Kuna mtu pale Halmashauri nilimuomba nimuweke kwenye CV yangu kama referee akakubali.
Nikampa rafiki yangu namba yake ampigie ajitambulishe kama HR officer wa shirika flani na amuombe details zangu kwani anataka kunipa nafasi ya kujitolea kwenye Hilo shirika, tukaweka loud speaker.
Huyo Referee wangu wa Halmashauri akaanza kumuambia; huyo kijana hakufai, kwanza Hana communication skills na punctuality nzuri. Tafuta vijana wengine. Ameongea mengi mazito ya negative kuhusu Mimi. Bila yeye kujua kwamba ni Mimi😅🖐🏿
Unavyodhani ndivyo sivyo, sivyo ndivyo 🎶🎶🎚️🎛️.. Prof Jay ft Chameleon
Sasa kama huna punctuality ulitaka adanganye? Referee maana yake nini kwani? Infact ukitaka kumuweka mtu referee hupaswi hata kumuomba wala kumjulisha, wewe muweke tu, akipigiwa aseme ukweli, basi.Mara nyingi unaweza kudhani kwamba upo salama na umezungukwa na watu wanaokutakia mafanikio na kumbe ni kinyume chake.