coolboyjden
JF-Expert Member
- Apr 10, 2021
- 286
- 396
Kwenye kila familia ya Waafrika kuna mchawi, fulusitopu
Sio mchawi sema wachawiKwenye kila familia ya Waafrika kuna mchawi, fulusitopu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kwa taifa ni ccm
Duuhhhh aiseee mbona walikufanyia ukatili sana huoPole sana..mimi ndugu zangu watoto wa mama mkubwa walinifichia vyeti vyangu ,mbaya zaidi baada ya siku kadhaa wakavitupa chooni na hii nilikuja kuifahamu baada ya mwaka kupita.
Sababu kubwa nishindwe kupata kazi niliyokuwa naifatilia...ila sijawahi kuwaa mbia na nishasamehe mara 70'.
Asante. Kuna aliye RIP akiwa na nyumba sehemu hakuna aliyejua. Wapangaji wakaishi bure miaka 7. ndugu yake mmoja siku hiyo akaona achambue makaratasi ya marehemu meeengi ili atupe yasiyo na maana ndio anaona tarifa ya hiyo nyumba akafuatilia. Kumbuka zamani hakuna simu za mkononi mtu anafuata kodi yake kila mwezi. Wapangaji wakasema tumekaa bure hatujui tumpe nani pesa. Mwingine aliugua hernia akafa ghafla kumbe alikuwa na biashara na rafiki yake na viwanja walinunua. Rafiki alijikausha familia ikaishia kuteseka.Aisee nitamficha kila mtu lakini sio mke wangu au watoto wangu.
Hakuna haja yakufanya siri hasa mambo ya fedha na mkeo.Asante. Kuna aliye RIP akiwa na nyumba sehemu hakuna aliyejua. Wapangaji wakaishi bure miaka 7. ndugu yake mmoja siku hiyo akaona achambue makaratasi ya marehemu meeengi ili atupe yasiyo na maana ndio anaona tarifa ya hiyo nyumba akafuatilia. Kumbuka zamani hakuna simu za mkononi mtu anafuata kodi yake kila mwezi. Wapangaji wakasema tumekaa bure hatujui tumpe nani pesa. Mwingine aliugua hernia akafa ghafla kumbe alikuwa na biashara na rafiki yake na viwanja walinunua. Rafiki alijikausha familia ikaishia kuteseka.
Ni kuwa makini. Kuna katabia ka wamama fulani akijua una vitega uchumi anakuondoa ili vibaki kwake.Hakuna haja yakufanya siri hasa mambo ya fedha na mkeo.
Nataka story mzeeHuyo jamaaa unamfahamu au ndo ww mwanga