Nimeamini Kinachopiganiwa Gaza Ni Mafuta Na Gas

Am less concerned....mtoa Uzi ameleta mada yake huku akijiondoa kwenye ishu za kidini.
 
Hakuna hoja uliondika zaidi ya upumbavu. Israel ndio aliwatuma magaidi hamas kushambulia, kuuwa na kuteka raia wasiokua na hatia?!
Kama ni hivyo basi Netanyahu na Hamas + Iran wanashikirikiana ili kuwatesa raia wa Palestina na Israel
 
Lgbtq+ bila kuutja uislamu na waislam pamoja na michezo yenu hua hamujisikii raha
 
Kwanini Hamas waliwashambulia Israel wakiwa kwenye sherehe zao .. watajuta sana na bado
Endelea tu kuamini walioshabulia ni hamas, na hata kama ni hsmas basi wapo sahihi, mtu ameondokewa na wazazi wake na ndugu zake kwa mabomu ya mazayuni so ataachaje kujiunga na hamas alipize kisasi, ardhi ni yao halafu uwanyanyase kiasi hicho!

So endelea kucheka na kufurahia mazayuni wanakifanya, ila siku unachomoka ndio utacheka vizuri
 
Haina maana kwako, kwetu sisi wenye imani na huruma ina maana sana
 
nyiny watu mna matatizo ya akili , oct 2023 mlikuwa mnashangilia upuuz wa Hamas , leo mnakuja na stori za Mafuta na Gas , lini mtaanza zitumia akili zenu ?

Zaidi ya miaka 70 palestina wanauliwa huku wakiendelea kupigania ardhi yao inayokaliwa kimababu na walowezi, na ukiangalia idadi ya mazayuni waliouawa ni wachache sana sana ukilinganisha na wapalestina, ila mnajitoa ufahamu. All in All mmejawa chuki sana, ni watu msiokua na huruma.
 
Inawezekana Misri ndie anaendesha vita hii.. yaani hata wakimbizi hawataki hata kuwasikia.. Gazan hawaaminiki pengine... au asili ya arabs wa Gaza ni Misri pia am sure hata mateka wengi wapo upande wa Misri.
Issue ya Israel kwa yeyote Ardhi ni mali ya Waisrael.. and tokea Israel adai uhuru ktoka kwa Uingeleza arabs populations hawakudai huo uhuru and ndio wanadai ni pao pote maeneo ya Westbank judea and samaria kulikuwa na jews ambao walikuwepo karne zote na arabs walifanikiwa kuwa genocide wote wa upande wao...

And mapatano yote ya UN Arabs waliyakataa tokea walipotengenishwa and vita ya kuangamiza Jews ilianza na kusndwa vibaya kwa arabs sasa price ya kutaka kuua ni kupewa zawadi? kwa ardhi ya bab yao MNabii Musa aliyopewa na Allah.. kuchange History kwa lazima ni jambo gumu kwa Wazungu ndio maana washangazwa...
 
Mwisho wa Israel utakuwa mbaya sana, naweza nikaushuhudia huo mwisho au nisiushuhudie ila utakuwa ni Mwisho mbaya sana.
Duh wewe ni Nabii? au mzee wa Kubet ... soma Hisroria kwanza Israel ilikuwepo ikiasi ndio inatawanyika kisha wakitubu inajiunga tena...

Issue ya sasa ni bora useme Mwisho wa Hamas ndio mbaya according to statics..
 
Reactions: 511
Ndio maana kuna vita so wacha iendelee waliofiwa na wazazi wapigane na wao wapotee tu sawa sawa...umenena yako visasi visasi hadi viishe.. vita zote zinaishiaa same.
 
Haya tuambie tukio la october 7 linahusikaje na mafuta na gas?
mkuu usishangae JF Kuna kila aina ya watu wenye akili na wasio na akili wanaweka mifano isiyofanana hata mtoto wangu hawezi waza hivyo.. eti vita ya kukomboa mateka inafananishwa na ugunduzi wa Mafuta baharini... these people wanaongea bila Logic same kama Dini ya Mnyaz
 
Duh wewe ni Nabii? au mzee wa Kubet ... soma Hisroria kwanza Israel ilikuwepo ikiasi ndio inatawanyika kisha wakitubu inajiunga tena...

Issue ya sasa ni bora useme Mwisho wa Hamas ndio mbaya according to statics..
Sitobishana na wewe ila usipojionea wewe basi hata kizazi chako kitajionea, kuna sheria za asili zinazobalance huu ulimwengu ni somo refu ila utajionea kama utakuwepo.
 
Sitobishana na wewe ila usipojionea wewe basi hata kizazi chako kitajionea, kuna sheria za asili zinazobalance huu ulimwengu ni somo refu ila utajionea kama utakuwepo.
Sasa hapo unajipatia cheo cha unabii.. the issue Manabii wanasema wao wameoteshwa so huwa wanaadithia kila kitakachotokea.. na sio kwa akili yako kama mnajimu wa hali ya hewa...

Andika kitabu cha unabii cha Malaika Misukosuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…