Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

Nielekeze hizo skills, maana maji yamefika shingoni
 
Waswas wangu unaweza kuwa haupo dunian
 
Umejitesa sana mkuu..... inabidi uchukue kidogo ukajipongeze mwisho wa mwaka
 
Hongera sana. Uwekezaji ni mzuri sana kwenye huo mfuko hasa kama huna muda wa kusimamia biashara actively. Mimi nina 136M so far na kazi inaendelea mpaka kufikia financial freedom. Mungu atuongoze inshallah
 
Njia ya mafanikio.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…