Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

We utakuwa above 55 si kwa nondo hizi

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mada hapa ni Marehemu na Masharti yao hii Mada yako sijui ya Wazawa na Urithi hapa imekujaje? Kuna Watu ni Wapumbavu hapa hadi mnakera na nashangaa kwanini UVIKO-19 imewachelewesha Kuwapeleka tu Udongoni.
We nae una hasira za karibu ka mjamzito, sa kwani kaongea kipi kibaya.....
Kijiweni kuna story mchanganyiko punguza hasira
 
Kuhusu sehemu ya kuzikwa ilo silipi nafasi sana
Ipo ivi Baba mkubwa wangu alifia mbeya lkn kabla ajafa alisema asipelekwe kilimanjaro kuzikwa ivyo azikiwe Mbeya lkn alivyo kufa ndugu wakaamua kupeleka Kijijini alipo zaliwa ili afanyiwe mazishi lkn kabla ya Safari kuanza ndugu mmoja alichukia fimbo alafu akachapa lile jeneza mara tatu uku akinenea maneno ya kilugha kwamba Ndugu inabidi uende kwenu ili ukalale kwenye aridhi aliyo kuachia baba yako Kisha Safari ikaanza Yani akuna maswaiba yoyote yalio tupata
 
Kwa story hizi nashauri maiti ziwe zinahudumiwa kama binadamu aliye hai! Kuna kila dalili kuwa zinahisi, kusikia na kutenda!!

Habari za kupasua maiti mnafanya postmortem bila ganzi wala nusu kaputi muache!! Zinaumia bila shaka 😕😕😕
 
Kidonge chako cha Kuutibu huo Ugonjwa wako mkubwa wa Akili ulionao na unaokusumbua muda mrefu umekumbuka Kukimeza leo?
Na wewe unaamini maiti inaongea? Unaamini inaweza kukudhuru? Sasa kama hicho siyo kichaa ni nini? Unajua hata wanyama wanafahamu kuwa maiti ni mzoga tu?
 
Si kweli, baba yangu mzazi alipofariki alisema tumzike Dar nikakataa tukampeleka Tanga nyumbani na tukampumzisha kwenye shamba letu la Ukoo. Hatukupata shida yeyote.
 
Usije kujaribu kuweka hilo jiwe ni hatari sana kama unabisha jaribu uone kama hajaamka kulipiga danadana
 
Marehemu wote wanapendwa kuzikwa, amini hivyo
 
Mtu akishakufa hadhuru wala hanufaishi hizo ni Imani za kishirikina ndo maana inafika hatua watu wanaenda kuomba msaada makaburini kwa wafu
 
Duuh ufafanuzi mzuri
 
Hizi ishu zipo aisee nakumbuka miaka ya zamani huko pana mzee mmoja alinyenyaswa sana na watoto wake wakike so akatamka maneno kadha wa kadha!

Mzee alipofariki, taratibu za kuaga zikapangwa hapo nyumbani kwake mzee mwili ndani ya jeneza walitaka ingiza katika nyumba kisha ibada ifanyike mzee huwezi amini jeneza likagoma pita mlangoni wabebaji waliangaika kwa kila namna kuliingiza ndani ikawa inashindikana.

Akatokea mzee mmoja mashuhuri eneo hilo ndio akasema vijana mzee amegoma kuingia ndani sababu ya matendo ya watoto wake hao hivyo jeneza msilazimishe ingiza ndani wekeni nje.

Kweli Dunia imejawa na mambo!
 
You're one of the best authentic Dimwit found on this lovely Swahili Forum. Hopefully you know that...!!
I don't care what you say, if you think I am deficient in intelligence that doesn't bother me at all.

But, I'll always sides with facts and not myths.

And it seems you are one of those imbeciles who believes Santa Claus is real.
 
Wee muongo walai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…