Hogwash...!!!We nae una hasira za karibu ka mjamzito, sa kwani kaongea kipi kibaya.....
Kijiweni kuna story mchanganyiko punguza hasira
Dame Fool..!!!Na wewe unaamini maiti inaongea? Unaamini inaweza kukudhuru? Sasa kama hicho siyo kichaa ni nini? Unajua hata wanyama wanafahamu kuwa maiti ni mzoga tu?
WorevaaaHogwash...!!!
Kichwani mwako zinakutosha? Hakuna mahala katika post yangu #1 nimesema kuwa hii Kitu ni sahihi kwa 85% tu ila 15% si kweli?Si kweli, baba yangu mzazi alipofariki alisema tumzike Dar nikakataa tukampeleka Tanga nyumbani na tukampumzisha kwenye shamba letu la Ukoo. Hatukupata shida yeyote.
Absolutely Rubbish...!!!I don't care what you say, if you think I am deficient in intelligence that doesn't bother me at all.
But, I'll always sides with facts and not myths.
And it seems you are one of those imbeciles who believes Santa Claus is real.
Unacheka kama Slat wa Beach Kidimbwi.Worevaaa
Acha hasira za kiivo, hasira za kina mama wenye mimba hizo
Hata sijacheka mieUnacheka kama Slat wa Beach Kidimbwi.
To Hell...!!!Hata sijacheka mie
😏😏😏🖕To Hell...!!!
Hey you're boring me okay?😏😏😏🖕
Pathetic loser!!!!!Absolutely Rubbish...!!!
Like your Mum..!!!Pathetic loser!!!!!
Hapo sasa mtu anajitutumua kutoa masharti kibao wakati hata ndani hana kitu cha kuuza elf 20Mnapotoa haya masharti uchwara muwe mnahakikisha mmeacha pesa pia, sio usafirishwe tu kwa kuchangisha wengine.
Ngoja tu nitafute mganga mzuri anaemzidi huyo wa huko.
sikujua kama nareply kwa mtoa roho ...najua umetumwa kuchukua roho yangu haya nitajie jina langu halisi nani nikuachie roho usepe nayo.Next si Wewe Ndugu au umesahau leo?
Mjumbe hauwawi.Ulaya nako kuna vituko pia na mambo ya ajabu, ila kwa kuwa wao wametuacha kiuchumi tunaona km huu upuuzi hakuna.. Ni km huku mwenye nacho(tajiri) tunaamini kuna mambo hana, ukiambiwa anafanya utashangaa.. Au tajiri ana ruhusa ya kusema chochote na kuaminika kirahisi, sema wewe KAPUKJ sasaa[emoji23]
New Zealand wana mchawi wa taifa
Benfica wana laana ya kocha wao aliwaapiza jinsi walivyomkosea adabu hawatabeba kombe la ulaya miaka 100.. Mpaka sasa waishapoteza fainali km 5 hivi..
Kuna wachezaji ulayA wana imani za kiwaki, sikumbuki vizurii, km sikosei JT yeye alikuwa lazima wa mwisho kuvaa, ikitokea kavaa halafu mtu hajavaa atavua na kuvaa upya.
NOTE. sisemi naamini hizi imani, ila nasema zipo duniani koote. Si mzungu, muafrika, muhindi, wala mchina.
Uandishi wako unatia kinyaaMm nashukuru pia mnk hata mzee wangu alivyo fariki alitoa maagizo ten kwa mtot mdg wetu was mwisho kuwa akifa azikwe mitachache kbsa kutoka barazani yaani kabiru lake liwe nnje muda wote ..bas tulikubali kwa shingo upande ingawa baadae kaburi Hilo limekuja kuwa Kama kivutuie kwani brzaa alikuja kuliboresha vxr na kuvutiaa Sana hapo nje na mm hutumia snaa eneo Hilo kulaa na kufua pia na huwa wanna wanmjuwamzee wangu wakijaga hapo omu bas hupendeleaa kukalia kaburi na watu wamezoee ..sas hv naona watu wengi wanakufa wanazikwa Kama alivyo zikwa mzee. Wanting bill kuficha kaburi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jemima and Zulfa nikifa lazima mje. Pia Mshana Jr, Extrovert, GuDume, sky expat na Bill Lugano msipokuja, sitazikika yang mkae mkilijua hilo
Ulaya namba 13 hawaitumii kwenye kila kitu wanaamini Ina mikosiUlaya nako kuna vituko pia na mambo ya ajabu, ila kwa kuwa wao wametuacha kiuchumi tunaona km huu upuuzi hakuna.. Ni km huku mwenye nacho(tajiri) tunaamini kuna mambo hana, ukiambiwa anafanya utashangaa.. Au tajiri ana ruhusa ya kusema chochote na kuaminika kirahisi, sema wewe KAPUKJ sasaa[emoji23]
New Zealand wana mchawi wa taifa
Benfica wana laana ya kocha wao aliwaapiza jinsi walivyomkosea adabu hawatabeba kombe la ulaya miaka 100.. Mpaka sasa waishapoteza fainali km 5 hivi..
Kuna wachezaji ulayA wana imani za kiwaki, sikumbuki vizurii, km sikosei JT yeye alikuwa lazima wa mwisho kuvaa, ikitokea kavaa halafu mtu hajavaa atavua na kuvaa upya.
NOTE. sisemi naamini hizi imani, ila nasema zipo duniani koote. Si mzungu, muafrika, muhindi, wala mchina.