Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Funguka mkuu tujifunze kituNgoja ninyamaze tu nikisikia mtu anaingiza mamilioni huku ameshikilia glass ya wine nakumbuka Ontario
Ya kuhemea kuna rafiki yangu anaifanya kwa arushaPenye tatizo ama ignorance Kuna hela.
Mfano Kuna mradi mmoja nauwaza unamiliki boda unampa kijana ,Hawa akina mama wanabakia home , wanafua,Wana watoto wananyonyesha,wanacheki series,tamthilia,wanapiga soga wanakuwa wavivu wa kwenda magengeni kufanya maemezi lunch nakuwa na app yangu Kama Uber wanatuma Oda zao nazo asubuhi nanunua Kama nyanya za 300,kitunguu Cha 200,dagaa 1000, mchicha wa 500,Mafuta ya kula ya 200 nampelekea mafuta wananilipa kwa mwezi ama kila mmama anatoa 250 Mana natafuta eneo ambalo Ni congested,Mana ukipata Kama Kaya buku ivi unalaza kitu Kama 200k unamzidi mwenye PhD anayelilia kutoteuliwa u rc pia.
Nyingine unapika chakula unakuwa na mdada unatafuta networks wale wavivu wa kupika ama mabachelor unawapelekea lunch wakiwa maghetoni Mana wapo wasiopenda kutoka kama vile mkiwa loji ndani kwa ndani unaletewa msosi hamshuki chini mana mko na nguo laini,Hawa Kuna service Kama ya 500,
Umeona akili yako??Very hard task n very risk task Kuna boda boda kakanyagwa na DSM hapo maeneo ya mwanachi leo asubuhi amepasuka kichwa, but ni idea nzuri pia
Unaweza ukafia hata ukiwa ndani mkuu. Basi na min canter iwe Kama soko ivi,unapiga mtaa kwa mtaa Mana kwenda sokoni Ni jau kwa wengine yaani unakuwa na specific ratiba fulani wakina mama wanajipanga nahitaji yao Kama kila mmoja alivyotoa Oda hata Kama umenunua kwa mteja wake unamletea yaani Ni suala la kucheza na uvivu wa binadamu tu na mahala anapopenda Bata na pia na kupenda mtelezo so unamhakikisha mtelezo unamwambia nikija nawapa series ya kifilipino Kama bonusVery hard task n very risk task Kuna boda boda kakanyagwa na DSM hapo maeneo ya mwanachi leo asubuhi amepasuka kichwa, but ni idea nzuri pia
Nlikuwa nakuchukulia poa ila sasa nakuheshimu mkuu.Ama graduate wakimaliza tu piga seminar fee 5k ili uwape mtaani linatakiwa Nini ama ukiwa kazini inatakiwa uishije Mana huko sio shuleni Kuna wivu na kurogana namna ya kuishi na wafanyakazi wenzako.
Pia six wakimaliza unawaita unawashauri kuhusu masuala ya vyuoni na mapenzi na mabata ama kuku.
Ila umenifurahisha wewe mdada genius Sana ivi umeshaolewa mie Nina mke Ila napanga kuongeza mke Mana huwa napenda ambaye brain iko hot hot Ina boil so na wewe unafiti kigezo .
Pia nitakupa dili la ku download hela huku na simu yako na bando tu huku tupo ama Dubai fulani ivi
akili kubwa hiyoYa kuhemea kuna rafiki yangu anaifanya kwa arusha
Anajiita NITUME
Asee sitakujibu tenaMbon tumeshakuelewa mkuu hizo issue zilikua zinafanywa ubungo kabla ile flyover haijajengwa the same k/Koo, posta na buguruni kwa hio sio jambo jipya au geni kuwapiga watu mchanga wa macho kwenye hii nchi na wewe sio wa kwanza km ulivyosema kuna wakubwa zaidi yako yaan wewe ni kidagaa kidogo kinachochipukia ni channel tu Ila usishtukiwe na usidakwe (maneno haya ushasema wewe mwenyewe)
Haya bana Ni akili yako ilikuwa kazi ya ubongo wako.Nlikuwa nakuchukulia poa ila sasa nakuheshimu mkuu.
Weka nondo ila oya oya watakwambia hawana mitaji mara ooh boda kapasuka kichwa
Hii ya chakula hata ofisini tulikuwa tunapigwa sana cha juu sababu ya uvivu wa kutoka lunch...Haya bana Ni akili yako ilikuwa kazi ya ubongo wako.
Nyingine hata ukienda vyuoni wadada wengine hawapendi kutoka nyumbani mwao wakale cafeteria so unachukua Oda zao unakata kubali wanakutuma msosi Mara uwaletee kopi ya kozi fulani so hapa unatafuta mashine ya kopi huko mtaani mtu kwa siku anapiga kopi 20 tu wewe unampa mzigo heavy anapiga kopi hata katoni kumi so badala mfano 30 kila kopi ama karatasi moja anapiga mbele na nyuma anachukua labda 27.5shs so wewe unakula 2.5*500*5*10=62500 na hili Ni watu wa kozi moja tu
Hakuna kazi kati ya hizo hapo itayokufanya ushinde bar na ulale hotel kila siku kwa 60 had 70 elfu.Kweli kabisa, waTz wengi tuna uzembe hata kwa vitu vidogo tu. Nafikiri ni miongoni mwa yafuatayo:-
1. Issue zinazohusiana na TRA
2. Passport/VISA
3. Issue za Brela
4. Application za chuo kwa wanafunzi/Loan Board
5. RITA (Vyeti vya kuzaliwa + vifo)
6. Hati za viwanja + nyumba…..nk.
Nikieleza ntakuwa nafungua code....Hakuna kazi kati ya hizo hapo itayokufanya ushinde bar na ulale hotel kila siku kwa 60 had 70 elfu.
Acheni masikhara!
Nyingine unawaungia Facebook, WhatsApp, telegram, YouTube,fans,Badoo,taggedTwitter,Instagram,jamii forum,unaowanyesha namna ya kusachi video ya mondi,zuchu,Simba na yangazm,cdm vs ccm,mitandao ya kujisomea Hadithi, mapenzi,kufumaniana ama unatunga stori unawafurahisha wanakulipa.Hii ya chakula hata ofisini tulikuwa tunapigwa sana cha juu sababu ya uvivu wa kutoka lunch...
Tunamtuma kijana mmoja badi hizo bukubuku anabaki na 20 kabisa
Hizo kwenye stationery za vijijini au za uswahilini huwa zinafanyika sanaNyingine unawaungia Facebook, WhatsApp, telegram, YouTube,fans,Badoo,taggedTwitter,Instagram,jamii forum,unaowanyesha namna ya kusachi video ya mondi,zuchu,Simba na yangazm,cdm vs ccm,mitandao ya kujisomea Hadithi, mapenzi,kufumaniana ama unatunga stori unawafurahisha wanakulipa.
Ma nigga umejuaje huyu ni beauty with brain... Mzee unamjua? I am amused....Beauty with brain. Safi sana.! Kuna madume mengi huku kelele za bure kumbe maoga kweli kweli[emoji28] ila wewe mwanamke umethubutu. Ni kweli Watanzania wengi(tafiti zisizo rasmi) ni waoga na hawajiamini kabisa, siyo kwemye shughuli zao za kazi au kujieleza, kote ni tia maji tia maji.