Ni 0.1% ya watanzania wenye kuwahi kumiliki 100m kwa cash ni 5% ya watanzania wana miliki assets ambazo zinaweza kuwapa 100m.......95% ya watanzania ni hand to mouth economy. Hi mada hapa sio mahara pake.Habari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa. nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT. Je wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa mda gani? Tupeane uzoefu
Magendo ya nini sasa maana yapo mengi na huko ni rahc kuipoteza yote hiyoIngia kwenye magendo utashika cash zaidi ya 900ml per six months.
Shida ni kupata mfereji sahihi wa biasharabroo ukipata biashara iliyochangamka hiyo pesa utaona ndogo na humu humu kuna watu wanasonya kuhusu hiyo pesa uliyosema.... kila mtu anaweza pata hiyo pesa shida ni moja umeandaa mfereji upi kwa ajiri ya kukinga hiyo fedha kaka....
Baada ya miaka 10, 2034 utakuwa tayari na 100M. Ukiziacha huko huko UTTHabari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa. nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT. Je wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa mda gani? Tupeane uzoefu
Tafuta hela ndugu yangu. Records zinaonyesha kuna millionaires zaidi ya 2300 Tanzania.Ni 0.1% ya watanzania wenye kuwahi kumiliki 100m kwa cash ni 5% ya watanzania wana miliki assets ambazo zinaweza kuwapa 100m.......95% ya watanzania ni hand to mouth economy. Hi mada hapa sio mahari pake.
Hiyo ni % gani kwa 65m people?Tafuta hela ndugu yangu. Records zinaonyesha kuna millionaires zaidi ya 2300 Tanzania.
Hujui ata yule anae miliki 2m anaitwa millioniar au hujui hilo?Tafuta hela ndugu yangu. Records zinaonyesha kuna millionaires zaidi ya 2300 Tanzania.
aingie tu serikali itampaka mafuta...😅Ingia kwenye magendo utashika cash zaidi ya 900ml per six months.
Hawezi itwa millionaire ndugu, data haimsomi huyo kama milioneaHujui ata yule anae miliki 2m anaitwa millioniar au hujui hilo?
Mahari = mahaliNi 0.1% ya watanzania wenye kuwahi kumiliki 100m kwa cash ni 5% ya watanzania wana miliki assets ambazo zinaweza kuwapa 100m.......95% ya watanzania ni hand to mouth economy. Hi mada hapa sio mahari pake.
Pesa za kurithi hazina utamu kama za kujitafutia.Namshukuru Mungu nimebahatika kuishika M100+ kabla ya kufika miaka 30.
Hao mamilionea ni sawa na 0.0035% ya watanzania wote.Tafuta hela ndugu yangu. Records zinaonyesha kuna millionaires zaidi ya 2300 Tanzania.