Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

Vipi January bei ikifika sh ngapi ya mazao?
 
Ni 0.1% ya watanzania wenye kuwahi kumiliki 100m kwa cash ni 5% ya watanzania wana miliki assets ambazo zinaweza kuwapa 100m.......95% ya watanzania ni hand to mouth economy. Hi mada hapa sio mahara pake.
Duh, Kama ni Kweli basi hii nchi ni maskini sana
 
Mungu anisaidie, aniwezeshe kupitia jitihada zangu mwaka huu 2025 nishike Milioni 100 za kwangu mwenyewe.
Mungu wewe ndio kimbilio letu, wewe ndio Mkuu, unamuua unalotaka liwe na linakuwa, usiniache kwa ombi langu hilo kwa mwaka huu!
Ni shughuli gani hizo unazofanya za kuweza kushika Mil 100??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Noma sana aisee,yaan wakati sisi wengine ml 10 unaitafuta ndani ya miezi sita/zaidi tena kwa kukomaa kwel kweli[emoji23][emoji23]...halafu mtu ndani ya siku tano kainyaka daa[emoji3]
wazee tupeane michongo ata ww uko vzr mm sijawahi shika ata hio mil 10
 
Lipia tangazo la UTI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…