Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

Kuna pointi yangu fulani hivi bado hujanipata mantiki yangu ngoja nikupe mifano miwili labda utanielewa,shida sio kuhudhuria kwenye sehemu ya burudani shida ni je hiyo furaha anayo?
Ukienda kwenye sehemu ya starehe na tajiri muda mwingi akili yake itakuwa inahama hatokupa ushirikiano unaotakiwa muda mwingi atakuwa anafikiria madeni ya biashara yake,vitisho anavyopewa na mamlaka mbalimbali,maadui na usalama wake.
Maskini akienda kwenye furaha anafurah kwelikweli
Huyo maskini anayeenda kwenye party na anafurahi kwelikweli labda ni wewe mwenyewe
 
Huyo maskini anayeenda kwenye party na anafurahi kwelikweli labda ni wewe mwenyewe
Mimi sio maskini,fuatilia kwenye sehemu za starehe hata kwenye baa za kawaida.
Ukiona kuna meza ina watu 2 au 3 ila imejazwa chupa 20 za bia kwa mkupuo kisha wanaruka kwa vibe masaa yote ujue hiyo ni meza ya watu maskini.
Ukiona kwenye bar ukakuta kuna makelele mazito ya maspika kiasi kwamba hadi hamsikilizani na wanaokunywa wanaongezea kelele zao binafsi za kuushangilia mziki ujue hiyo sehemu wanaokunywa hapo wengi ni maskini.
Angalia hata wale chawa wa matajiri wakubwa wale kama wakina Mwijaku,Babalevo,Manara furaha waliyo nayo na makelele wanayopiga wakisafirishwa kwenda Dubai kisha angalia matajiri wao walivyo kimya kama hawapo utajifunza kitu.
Mbona ni hesabu ndogo tu hizi unashindwa kuzielewa.
 
Hilo na mimi ndio linanisumbua kuna mzigo wa maana upo utt, kweli unaongezeka kila siku.. Shida zipo nyingi, najiuliza kila mara je nitoe kiasi fulani nisolve mambo yangu fulani.?.. Roho nyingine utapunguza ule mzigo.. Nipo njia panda
Upo kama mm
 
broo ukipata biashara iliyochangamka hiyo pesa utaona ndogo na humu humu kuna watu wanasonya kuhusu hiyo pesa uliyosema.... kila mtu anaweza pata hiyo pesa shida ni moja umeandaa mfereji upi kwa ajiri ya kukinga hiyo fedha kaka....
Daah umenikumbusha mbali. Juzi kati hapa niliitwa kwenda kupata kinywaji na jamaa zangu wawili ambao ni Wafanyabiashara Wakubwa. Yaani stories za hela walizokuwa wanazungumzia ni milioni 500 na interms of billions. Mpaka nikajikuta kama nimepotea njia. Maana mimi milioni 100 cash sijawahi kamata.
 
Mimi sio maskini,fuatilia kwenye sehemu za starehe hata kwenye baa za kawaida.
Ukiona kuna meza ina watu 2 au 3 ila imejazwa chupa 20 za bia kwa mkupuo kisha wanaruka kwa vibe masaa yote ujue hiyo ni meza ya watu maskini.
Ukiona kwenye bar ukakuta kuna makelele mazito ya maspika kiasi kwamba hadi hamsikilizani na wanaokunywa wanaongezea kelele zao binafsi za kuushangilia mziki ujue hiyo sehemu wanaokunywa hapo wengi ni maskini.
Angalia hata wale chawa wa matajiri wakubwa wale kama wakina Mwijaku,Babalevo,Manara furaha waliyo nayo na makelele wanayopiga wakisafirishwa kwenda Dubai kisha angalia matajiri wao walivyo kimya kama hawapo utajifunza kitu.
Mbona ni hesabu ndogo tu hizi unashindwa kuzielewa.
Hatusemi utafute maisha usahau kuishi
 
Habari wakuu,

Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa.

Nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT.

Je, wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa muda gani? Tupeane uzoefu
Duh kama una milioni 56 cash upo vizuri aisee, sisi wengine hamna hamna tuna tumilioni kadhaa na ambako vikiingia tu vinafyekwa fasta😂 kisa majukumu debe

Sijui kwa wengine, ila mie siwezi kaa na hela nyingi kiasi hicho nimeziatamia tu

Potelea pote lazima nitajilipua tu kwenye issue yoyote iwe biashara au mali isiyohamishika
 
Back
Top Bottom