Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatafuta hela kwa ajili ya kutatua matatizo.Hilo na mimi ndio linanisumbua kuna mzigo wa maana upo utt, kweli unaongezeka kila siku.. Shida zipo nyingi, najiuliza kila mara je nitoe kiasi fulani nisolve mambo yangu fulani.?.. Roho nyingine utapunguza ule mzigo.. Nipo njia panda
UTT ndiyo nini hebu tufahamishaneTunatafuta hela kwa ajili ya kutatua matatizo.
Vitu vya kuzingatia:-
1. Kabla hujaweka hela UTT, kumbuka kuwa na hela ya emergency. Hii itakusaidia kutatua shida ambazo hazikuwepo kwenye plan yako
2. Jiwekee policy ya kutoa ongezeko la faida. Kwa mfano kwa kila mwaka kuna ongezeko la 12% kwa mfuko wa Bond, unaweza ukaamua kwa kila mwaka utakuwa unatoa only (4% au 6%) ya ongezeko la faida kwa ajili ya kutatua matatizo binafsi. Then hiyo (8% au 6%) inayobaki iendelee kukuza account (Compounding) + kupambana na Inflation. Hii itakupa amani ya moyo na nguvu ya kuendelea na uwekezaji wako wakati na wewe unazifaidi mdogo mdogo.
3. Usikubali kuwa na mzigo wa kutosha UTT halafu unaishi kwa kuteseka.
Nawaza hapa ninyofoe ka mil 6 UTT maana kuna ka mzigo ka kutosha kule na kila siku unaiona pesa inaiongezeka.Tunatafuta hela kwa ajili ya kutatua matatizo.
Vitu vya kuzingatia:-
1. Kabla hujaweka hela UTT, kumbuka kuwa na hela ya emergency. Hii itakusaidia kutatua shida ambazo hazikuwepo kwenye plan yako
2. Jiwekee policy ya kutoa ongezeko la faida. Kwa mfano kwa kila mwaka kuna ongezeko la 12% kwa mfuko wa Bond, unaweza ukaamua kwa kila mwaka utakuwa unatoa only (4% au 6%) ya ongezeko la faida kwa ajili ya kutatua matatizo binafsi. Then hiyo (8% au 6%) inayobaki iendelee kukuza account (Compounding) + kupambana na Inflation. Hii itakupa amani ya moyo na nguvu ya kuendelea na uwekezaji wako wakati na wewe unazifaidi mdogo mdogo.
3. Usikubali kuwa na mzigo wa kutosha UTT halafu unaishi kwa kuteseka.
Kuna jamaa humu alisema katika hali ya kawaida unatakiwa mtu uwe na account tatu tofauti ambazo unaweza kuchomoa hapo million 70 kwenye kila moja kipindi unapata dharura.broo ukipata biashara iliyochangamka hiyo pesa utaona ndogo na humu humu kuna watu wanasonya kuhusu hiyo pesa uliyosema.... kila mtu anaweza pata hiyo pesa shida ni moja umeandaa mfereji upi kwa ajiri ya kukinga hiyo fedha kaka....
SureTusiwe tunatangaza mipango yetu
Tupe story kaka ilikuaje ikapotea hyo 17M ndani ya 7 months na ilikuwa biashara gani?Kusave hela raha sana wakuu.. 10M hadi sasa for 5 months.. mwezi ujao ntakuwa na 12M naupelekea wote Utt amis alaf nausahau.
Usinishauri kuhusu maduka sjui huko sitak kusikia maana tangu nichome 17M ndani 7 months sitosahau kamwe, Ila namshukuru Mungu wa Yakobo atoaye utajiri bado yupo nami na anaendelea kunifungulia riziki
Gombea viti maalum mkuuHabari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa.
Nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT.
Je, wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa muda gani? Tupeane uzoefu
...umeandaa mfereji upi wa kukinga hiyo fedha..broo ukipata biashara iliyochangamka hiyo pesa utaona ndogo na humu humu kuna watu wanasonya kuhusu hiyo pesa uliyosema.... kila mtu anaweza pata hiyo pesa shida ni moja umeandaa mfereji upi kwa ajiri ya kukinga hiyo fedha kaka....
Kwa inflation kwa miaka 10 tu assume probably itakuwa 7%Hadi ifike huo mwaka kwa inflation yetu, hiyo mil 100 utanunulia mifuko 10 ya cement inaisha
Nasubiri comment ya wale wanaobeti maana wao anabeti laki moja anapiga mil 100
Futa haraka vijana wa ovyo wakiona hii wanauza tv wanalala kwa mhindi kubeti naana mpaka unapata hii ushapigwa kama mara mia🤣
Sio biashara tu, shida ni kuilinda hiyo pesa isipungue au kubaki hapo hapo bila kuongezeka au kupotea kabisa... Kumaintain consistent ya kuiongeza ndiyo mtihani mkubwa..Shida ni kupata mfereji sahihi wa biashara
DuuuuuhNamshukuru Mungu nimebahatika kuishika M100+ kabla ya kufika miaka 30.
Unataka umiliki hicho kiasi ndani muda gani kwanza?Habari wakuu,