Hizi habari kuhusu nafaka huu ni nzuri kwenye kuandika ila kiuhalisia ni tofauti kabisa ukiingia kwenye gemu lake
Broe Nafaka inatakiwa uchanganye Mazao na usome upepo Kwa Msimu husika na ufanye Kwa mwrndelezo at least miaka mitatu ndio utaona matunda yake Kwa huo mtaji Kwa misimu Mitatu lazima utakutana na Mazao ya kupasua mara mbili Hadi tatu, Kila kitu kinahitaji muendelezo ila watu hawana uvumilivu , Success ni matunda ya kufanya kitu Kwa consistency ndio utaona matunda.
Eg. Mwaka Jana Alizeti elianzia 40,000/ Kwa Gunia mwezi wa tatu imeuzwa Kwa 90,000/ Kwa Gunia.
Mchele ulipanda sana.
Mwaka Jana Mahindi hayajapanda Bei , Sasa mwaka huu mtu atakayecheza na haya Mazao atapiga Hela sana ;-
Mahindi - nchii jirani zote Zina njaa mwaka huu Hadi Zambia mlishaji mkubwa wa Mahindi Kwa Congo, Kenya, na Rwanda.
Malawi Kuna ukame, Angola, Zimbabwe, Kenya wameanza kununua kidogo kidogo.
Karangawaka huu zinauzwa Bei ndogo sana Gunia la maganda Kwa Tsh30,000/ he apo January lazima liwe 60,000/ plus,
Maharage.
Mtama.
Udoo.
Ulezi
Kunde.
Dengu.