Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Mi kila ikifika elfu 38 unakuta gesi imekata!.😅Hongera broo!mi mwenyewe napambana kusave ila ikifika laki tu kila tatizo linaitolea macho 🥺🥺🥺🥺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi kila ikifika elfu 38 unakuta gesi imekata!.😅Hongera broo!mi mwenyewe napambana kusave ila ikifika laki tu kila tatizo linaitolea macho 🥺🥺🥺🥺
Mkuu acha tu na kuelewa ila endelea kupambanaMi kila ikifika elfu 38 unakuta gesi imekata!.[emoji28]
We uliweza vipi kukusanya vibunda vyote hivyo mpaka vifike 56 wakat mi 100k inasumbua kukusanyika?😂Mkuu acha tu na kuelewa ila endelea kupambana
Mkuu fanya utafiti vizuri.Tuache kujifariji.
Sema usemavyo umasikini ni mbaya ndugu yangu
Mkuu unajua sana kucheza na saikolojia zetu.. yan unajua sana kutupa moyo masikin 😅Mkuu fanya utafiti vizuri.
Ukifuatilia katika jamii utaona wenye vipato vya chini wana furaha zaidi kuliko wenye vipato vya juu.
Chunguza kwenye mitaa ya uswahilini utaona kila baada ya siku 3 kuna sherehe na watu wanajiachia halafu baada ya hapo nenda kwenye mitaa ya matajiri utakuta hata majirani hawasalimiani kila mtu anaugulia na stress zake kimyakimya.
Kwa mfano mimi zamani nilikuwa na mawazo kama yako kwamba nikijitafuta nikajipata nitakuwa mtu wa furaha lakini cha ajabu kadri ninavyozidi kupanda level ya maisha naona stress ndio zinaongezeka na amani ya moyo inapotea.
Umasikini unamfurahisha mtu mjinga.Mkuu fanya utafiti vizuri.
Ukifuatilia katika jamii utaona wenye vipato vya chini wana furaha zaidi kuliko wenye vipato vya juu.
Chunguza kwenye mitaa ya uswahilini utaona kila baada ya siku 3 kuna sherehe na watu wanajiachia halafu baada ya hapo nenda kwenye mitaa ya matajiri utakuta hata majirani hawasalimiani kila mtu anaugulia na stress zake kimyakimya.
Kwa mfano mimi zamani nilikuwa na mawazo kama yako kwamba nikijitafuta nikajipata nitakuwa mtu wa furaha lakini cha ajabu kadri ninavyozidi kupanda level ya maisha naona stress ndio zinaongezeka na amani ya moyo inapotea.
Mkuu 56m sijawahi kua nazo cash na siwezi kwasbb nikipata tu kdgo lazima niwekeze kwenye biashara tena pesa halali mkuiWe uliweza vipi kukusanya vibunda vyote hivyo mpaka vifike 56 wakat mi 100k inasumbua kukusanyika?[emoji23]
Hilo na mimi ndio linanisumbua kuna mzigo wa maana upo utt, kweli unaongezeka kila siku.. Shida zipo nyingi, najiuliza kila mara je nitoe kiasi fulani nisolve mambo yangu fulani.?.. Roho nyingine utapunguza ule mzigo.. Nipo njia pandaBaada ya miaka 10, 2034 utakuwa tayari na 100M. Ukiziacha huko huko UTT
Kwa sasa hivi endelea na harakati nyingine. Hiyo 56M, achana nayo wala hutakiwi kuifikiria.
Mi na wewe ka mapacha wallah wabilah😔😔😔Hongera broo!mi mwenyewe napambana kusave ila ikifika laki tu kila tatizo linaitolea macho 🥺🥺🥺🥺
I am the chief comforter,Mkuu unajua sana kucheza na saikolojia zetu.. yan unajua sana kutupa moyo masikin 😅
Mkuu unachanganya mada.Umasikini unamfurahisha mtu mjinga.
Yaani uishi makazi duni, watoto wasome shule za kayumba, utembee Kwa mguu, mlo wa shida, ukiumwa huna pesa za matibabu, huna cha kusaidia.
Then upo tu eti umasikini ni mzuri kuliko utajiri halafu tukuone upo timamu kichwani
Ujue nilichokuja kugundua, kuwa na raha au furaha ni suala ambalo unaweza tu ukalitengeneza mwenyewe. Haijalishi una pesa au hauna japo ukiwa nazo hil zoez huwa rahis zaid.I am the chief comforter,
You are welcome😃
Yeah upo kwenye point.Ujue nilichokuja kugundua, kuwa na raha au furaha ni suala ambalo unaweza tu ukalitengeneza mwenyewe. Haijalishi una pesa au hauna japo ukiwa nazo hil zoez huwa rahis zaid.
Pia pesa au umasikin vule vile huweza kusababisha mtu kuwa na stress japo ukikosa pesa hil zoez huwa ni jepes zaid.
According to stoic wisdom ,furaha ya mtu/watu hujengwa na na ile hali ya utayari na kuridhika kwao kwa vile walivyo navyo on hand bila kutazama vitu gan wanataman wawe navyo au wanataraji wavipate au vitu vipi hawana. Uki focus kwenye gratitute and being content with whatever u have, being grateful , unaish maisha ya furaha sana. Nafikir hapa mdipo watu wa hali ya chini (masikini kama wanavyoitwa) huko uswahili ndivyo wanavyoishi na kuwa na amani na furaha kwa kile kidogo walicho nacho
THERE IS ONLY ONE WAY WHICH MONEY MULTPLY, IS BY INVESTING. NOT SAVINGHabari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa.
Nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT.
Je, wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa muda gani? Tupeane uzoefu
Nimekuelewa sana mkuuMkuu unachanganya mada.
Hakuna mahali palipoandikwa umaskini ni mzuri kuliko utajiri,tunachofanya hapa tunalinganisha kati ya matajiri na maskini ni gani wenye furaha zaidi.
Lakini pia hakuna mahali tuliposhauri kwamba ikija fursa ya oesa au ya kutajirika uiachie makusudi la hasha hiyo ni mada tofauti kabisa
Kuna kitu tunatakiwa kufanya ila sijui ni kitu ganiMi na wewe ka mapacha wallah wabilah😔😔😔
Tusiwe tunatangaza mipango yetuKuna kitu tunatakiwa kufanya ila sijui ni kitu gani
KabisaHivi kumbe kuna Watanzania wanamiliki meli zaidi ya Azam na serikali?
Duuh [emoji23][emoji23]Hongera broo!mi mwenyewe napambana kusave ila ikifika laki tu kila tatizo linaitolea macho [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]