Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno. Najitaidi lakini yataka moyo!

Habari wakuu,

Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa.

Nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT.

Je, wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa muda gani? Tupeane uzoefu
Wafanyakazi wengi wanastaafu bila hata kushikaa milioni 30 cash, milioni 100 ni mbali sana.
 
Naona umepitiwa, najua unajua hesabu. $1m ni Tzs 2.5b nakuhakikishia Watanzania wengi hao unaoita Wamakonde, Wasukuma wana mali za thamani hio. Na hio figure ya watu 2400 wenye $1m ni kidogo kwasababu Watanzania wengi hawako kwenye mfumo ambao unaweza kuwahesabu kujua mali zao.
Wengi wangapi?? Hata kama kuna Watanzania milion moja wenye ukwasi TZS bilioni 2.5 bado huwezi kusema ni wengi kwenye taifa la kariba watu milioni 40 ambao wamefikia umri wa kufanya kazi.
 
Mkuu fanya utafiti vizuri.
Ukifuatilia katika jamii utaona wenye vipato vya chini wana furaha zaidi kuliko wenye vipato vya juu.
Chunguza kwenye mitaa ya uswahilini utaona kila baada ya siku 3 kuna sherehe na watu wanajiachia halafu baada ya hapo nenda kwenye mitaa ya matajiri utakuta hata majirani hawasalimiani kila mtu anaugulia na stress zake kimyakimya.
Kwa mfano mimi zamani nilikuwa na mawazo kama yako kwamba nikijitafuta nikajipata nitakuwa mtu wa furaha lakini cha ajabu kadri ninavyozidi kupanda level ya maisha naona stress ndio zinaongezeka na amani ya moyo inapotea.
Matajiri wana furaha tofauti na masikini, Tajiri yeye kadri pesa inavyoongezeka ndio anazidi kuwa na furaha, pia atapenda zaidi kutembea Dubai, paris n.k, weekend moja moja atataka kuwa sehemu yenye utulivu akiwa anapata John Walker, Hennessy au Moet, ahudhurie matukio ya Lions, Rotary na golf clubs. Usitegemee tajiri apate furaha yake katika ngoma za mdundiko, vigodoro, mdananda, mchiruku n.k
 
Itakuchukua miaka 8 na miezi 4 kufikisha 100M ikiwa kila mwezi utasave Milioni Moja.

Sasa piga hesabu wabongo wangapi wanaweza kusave hiyo Milioni moja kila mwezi. (wachache mno)

Halafu njoo kwa wanaoweza kusave laki tano kila mwezi kisha double hiyo miaka ya saving hapo juu. (hapa pia wapo wachache)

Then malizia na wanaoweza kusave laki moja hadi mbili kila mwezi halafu calculate itawachukua miaka mingapi kufikisha 100M. (hapa ndio wengi wapo).

Majibu ya condition ya tatu hapo juu ndio yatakupa mwanga kuwa 100M sio 100 Meter ambazo kila mtu anaweza kuzitembea!
Ni huzuni kwa kweli.
 
Wengi wangapi?? Hata kama kuna Watanzania milion moja wenye ukwasi TZS bilioni 2.5 bado huwezi kusema ni wengi kwenye taifa la kariba watu milioni 40 ambao wamefikia umri wa kufanya kazi.
Nenda kwenye kamusi tafuta maana ya neno wengi.
 
Matajiri wana furaha tofauti na masikini, Tajiri yeye kadri pesa inavyoongezeka ndio anazidi kuwa na furaha, pia atapenda zaidi kutembea Dubai, paris n.k, weekend moja moja atataka kuwa sehemu yenye utulivu akiwa anapata John Walker, Hennessy au Moet, ahudhurie matukio ya Lions, Rotary na golf clubs. Usitegemee tajiri apate furaha yake katika ngoma za mdundiko, vigodoro, mdananda, mchiruku n.k
Kuna pointi yangu fulani hivi bado hujanipata mantiki yangu ngoja nikupe mifano miwili labda utanielewa,shida sio kuhudhuria kwenye sehemu ya burudani shida ni je hiyo furaha anayo?
Ukienda kwenye sehemu ya starehe na tajiri muda mwingi akili yake itakuwa inahama hatokupa ushirikiano unaotakiwa muda mwingi atakuwa anafikiria madeni ya biashara yake,vitisho anavyopewa na mamlaka mbalimbali,maadui na usalama wake.
Maskini akienda kwenye furaha anafurah kwelikweli
 
Hapa kwenye timing, Nieleweshe mkuu
Inategemeana na aina ya biashara unayoifanya na mtaji wako ila kikubwa zaidi ni kumuomba Mungu akutangulie maana mambo mengi yapo nje ya uwezo wetu hata ujitahidi vp bado utakuwa na point fulani ambayo ikiguswa inaweza kukukwamisha kbs ila ukimtanguliza Mungu ana namna nyingi za kukusaidia utoboe
 
Huu ni mtazamo wako ila kwangu ni tofauti na naamini utajiri haumpi mtu furaha wala Amani vinginevyo
 
Inategemeana na aina ya biashara unayoifanya na mtaji wako ila kikubwa zaidi ni kumuomba Mungu akutangulie maana mambo mengi yapo nje ya uwezo wetu hata ujitahidi vp bado utakuwa na point fulani ambayo ikiguswa inaweza kukukwamisha kbs ila ukimtanguliza Mungu ana namna nyingi za kukusaidia utoboe
Nmekuelewa vyema.
 
Kuna pointi yangu fulani hivi bado hujanipata mantiki yangu ngoja nikupe mifano miwili labda utanielewa,shida sio kuhudhuria kwenye sehemu ya burudani shida ni je hiyo furaha anayo?
Ukienda kwenye sehemu ya starehe na tajiri muda mwingi akili yake itakuwa inahama hatokupa ushirikiano unaotakiwa muda mwingi atakuwa anafikiria madeni ya biashara yake,vitisho anavyopewa na mamlaka mbalimbali,maadui na usalama wake.
Maskini akienda kwenye furaha anafurah kwelikweli
Kasema nani ....huyo masikini nae atakua anawaza matatizo yake mara kodi ya nyumba, ada za watoto , madeni, Pesa za matibabu n.k
Yani inshort ni hivi Kila mtu ana level ya matatizo yake , na ni afadhali hata kwa tajiri atakua na resources za kusolve matatizo yake .

Pesa inaweza isikupe furaha ila itakusaidia kukutengenezea mazingira ya kupata furaha.

Masikini kinachowasaidia/kutusaidia ni ile hali ya I don't care
 
Habari wakuu,

Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa.

Nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT.

Je, wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa muda gani? Tupeane uzoefu
hongera mkuu
umewezaje? tunaomba kujifunza
 
Inategemea upo mkoa. Gani hapa Tanzania , kama upo mkoani jaribu biasharavya Nafaka msimu huu Mahindi yameanza na Bei rafiki sana Gunia la KG 110 ni 38000/ Hadi. 40,000/.
Nunua Mahindi Gunia 500 Kwa Thamani ya Tshs 20milioni ,
Then nunua mpunga Gunia 200 za debe kumi kumi Kwa Thamani ya Tshs 10Millioni ,
Alizeti Gunia 300 KG 70 Kwa Thamani ya Tshs 15Milioni.
Hifadhi Kwa muda wa miezi Sita , hapo ni January 2025 Bei zotakuwa. Juu sana Kwani Mazao yanakuwa hamna mashambani.
Mahindi unaweza uza Hadi Tshs 80,000/ mara 500 Gunia = 40milioni.
Mpunga Gunia 200 Mara 140,000/ = 28milioni.
Alizeti Gunia 90000/ mara Gunia 300 = 27milioni
Jumla ya kipato Kwa kuwekeza 45milioni Kwa miezi Sita ni 95milioni.
Option ya pili kama upo Dar es salaam nenda maeneo ya pembeni yanauokuwa Kwa Kasi Nunua ekari tatu za ardhi katika maeneo matatu tofauti then unapima. Viwanja baada ya mwaka Moja Hadi miaka miwili. Ekari Moja inatoa wastani wa Viwanja 10 vya kuanzia 400sq Kila Kiwanja utauza zaidi ya Tshs 4Milioni, hapo mchawi ni kwenye kupoint maeneo Gani yarayokuwa Kwa Kasi.
Hapo kwenye mazao ni unyama sana maana wakenya wanavyosomba mpunga sio poa january ni mbali nadhani kufikia mwezi wa 10 bei itakuwa juu
 
Back
Top Bottom