Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Hajaanza kujiwekeza?Nina mwanangu alikuwa kwenye mradi anavuna milioni 5 kwa mwei, mradi ukaisha hata hela ya gesi, hela ya vitu vidogo, msosi wa mtoto ikawa mbinde, nilimoa sana kampani kipindi hiki, kapata kazi tena kasahau kila kitu 😂🤣