Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 294
Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara. Majuzi nilihudhuria mazishi ya Mzee mmoja maarufu. Sasa tukiwa msibani kuna dada mmoja msukuma mweupe kapanda hewani na tako hilo. Katika harakati zangu nikafanikiwa kupata namba zake ambapo alinieleza kaolewa mkoa jirani na alikuwa kapewa ruhusa na mmewe ambapo yeye (mmewe) atafika siku husika ya mazishi.
Katika kunihakikishia hilo kwamba kaolewa akawa kanitumia picha za familia yake. Bila kupoteza muda nikamuomba penzi ambapo alichomoa kabisa. Nikaona isiwe shida nikafuta namba zake na ukimya ukatawala. Ilipofika mida saa 10 alasiri akanitext "Kwa hiyo umenuna?"
Asee una hasira za karibu! Nikajibu kawaida. Akajibu "sawa ila andaa mazingira nitakuja usiku"Akatoa masharti hatotumia zaidi ya lisaa limoja. Ilipofika mida ya saa 1:45 usiku nikamtua ambapo saa 2:05 usiku akawa kafika. Tukapiga story chache Kisha nikamtupia kitandani na kuanza kumchezea.
Nilipotoa condom akakataa kwamba huwa zinamuumiza pia Huwa Zina harufu inayomkera. Basi ikabidi niuze mechi kwa kupiga kavu, sasa wakati tumeingia round ya pili ghafla simu yake kuita kuangalia ni mmewe akimjulisha kwamba nae kafika msibani usiku huo.
Ilibidi adanganye kaja kutafuta dawa gengeni maana kichwa kinamuuma.Ikabidi nimchomoe awahi msibani. Kilichoendelea sijui maana sijamtext Wala yeye hajanitafuta.
Ila misibani siyo sehemu salama sana Kwa wake za watu.