Nimeamini wanaume hawaaminiki

Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Mwishowe utamtunuku mzigo baba Cathe vizuri tu.

Ni kawaida vibinti vidogo kujibu hivyo mwanzoni. Baada ya muda utaanza kumuelewa na utampea tuu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
samaleko wifi yangu, tchaaah'..!πŸ™Œ
tunaomba uwe kungwi kwa wakaskazini siye, mambo kumbe huko duniani ni makubwa mno..!

Nirudi unyagoni walaqhi', sema hapo pa 'macalio' nimewaza zile shape zetu nikasema eeh' Jehovah Shama tuhurumie, tutatingisha nini sisi wa huko 'mlimani', basi bhaana hadithi yetu itakuwa imeishia hapo..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…