Nimeamini wanaume hawaaminiki

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umenivunja mbavu
Wee dada unawaza kwamba nikuzungusha kiuno tuu eti! Kazi ya kiumbe me ni kuridhisha kiumbe ke Sasa wewe uyo Mzee anataka akuridhishe unamwambia simu huna Wakati unachart nayo huku jf au ni laptop iyo
 
Wee dada unawaza kwamba nikuzungusha kiuno tuu eti! Kazi ya kiumbe me ni kuridhisha kiumbe ke Sasa wewe uyo Mzee anataka akuridhishe unamwambia simu huna Wakati unachart nayo huku jf au ni laptop iyo
Rudi kwenye mstari usijisahau!
Sio kila mwanaume niwe nae
Sio kila mwanamke uwe nae
 
Nakubali kua wote wana tamaa lakini kutongoza hovyo hadi majirani zako ni kujiendekeza na kukosa akili timamu
Kutongoza ni tabia ya all males, yaani hata beberu anatongoza kwa namna yake, na hatongozi mbuzi mmoja tu, sembuse binadamu..nasema hivi, tunatongoza tu..baba cathe ajipange upya aje kivingine au la atafute kwingine, mama cathe peke yake hatoshi🀣
 
Kwa hii style ya kuhudhuria kwa baba Cathe atamla kichwa
 
Aisee! Wanaume wa kizungu wapo busy kugundua sayansi na teknolojia mpya
Nyie mpo busy kuwaza ngono?

Kutulia mnaweza ila mnajiendekeza, wanawake wa zamani walikua waaminifu kwa waume zao hilo ndilo lilifanya mkajiona nyie ndo mnatamani nje kuzidi sisi lakini ukweli ni kwamba hata sisi tunavutiwa na vijana huko nje sema tunajizuia!!!

Kudhibitisha hilo, unaona wanawake walivyocharuka siku hizi? Na sisi tunaruka na tunaowatamani yaani kama ni match basi FT ni GG
 
Comments reserved
 
Japan sawa! Ngozi nyeupe sanasana wazungu ni waaminifu sanaaaaaaa

Shida ni hii ngozi nyeusi! Uaminifu 0%
Mnacheat wake zenu kwa kisingizio cha nature wakati mnajiendekeza
Nani kasema wazungu waaminifu? Wanacheat sana kama sisi tu, tofauti yao na sisi nikuwa ni wakweli, pale hisia zinapopungua wanakuja straight "ephen mimi sikupendi tena, naona tuachane". Ila kibongobongo nakuweka, namuweka yule na wote nawaaminisha kuwa nawapenda sana.
 
Wewe dada umetuanzishia Uzi mwenyewe ulitaka wazungu waje wakomenti
 

Nimeamini wanaume hawaaminiki.....​

Imani yangu ilikua kwa baadhi ya wanaume waliooa ambao nimekua nikiwaona ni wastaarabu na waaminifu kwa wake zao akiwepo baba Cathe kwa kilichotokea kumbe na yeye ni walewale
Wanaume wote hawaaminikiiiiiiiii
 
Basi msitukate mapanga kama Jose kaeni muenjoy show
 
Hizi nadharia zako mbili wala hazina ukweli, wazingu no cheaters kama sisi tu, wanawake wa zamani walikuwa cheaters tu kama wa leo, tofauti ni uwazi uliopo sasa na koromeo walilopewa babu zetu kudeal na infidelity za bibi zetu.
 
Hizi nadharia zako mbili wala hazina ukweli, wazingu no cheaters kama sisi tu, wanawake wa zamani walikuwa cheaters tu kama wa leo, tofauti ni uwazi uliopo sasa na koromeo walilopewa babu zetu kudeal na infidelity za bibi zetu.
Kwahiyo tukubaliane kua binadamu bila kujali jinsia wote hawaridhiki na mtu mmoja,Kasoro wanaume wao wanajiendekeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…