Wadhaifu kama kina Jose wanamalizana na nyie hapo hapo. Wenye koromeo na uwezo mkubwa kuyahimili wanawapiga za uso kimyakimya ila kwa uhakika. Huwezi kishindana na mwanaume wako ukafanikiwa, labda ukutane na zoba la mapenzi.Basi msitukate mapanga kama Jose kaeni muenjoy show
unaaminika kwa kipi muhuni weyeπ€£π€£π€£ππ gangsterSema mi naaminika et ππππ
Ahahahaha atajua hajui
Endekezeni michepuko mfirisike halafu mrudi kwa wake zenu mkiwa mnechakaaWadhaifu kama kina Jose wanamalizana na nyie hapo hapo. Wenye koromeo na uwezo mkubwa kuyahimili wanawapiga za uso kimyakimya ila kwa uhakika. Huwezi kishindana na mwanaume wako ukafanikiwa, labda ukutane na zoba la mapenzi.
Siyo kweli labda ukiwa nao unajiachia mapaja Ina maana ulikuwa unamvunjia barafuImani yangu ilikua kwa baadhi ya wanaume waliooa ambao nimekua nikiwaona ni wastaarabu na waaminifu kwa wake zao akiwepo baba Cathe kwa kilichotokea kumbe na yeye ni walewale
Wanaume wote hawaaminikiiiiiiiii
Mwanamke hana maumbile ya kuhudumia wanaume wawili kwa pamoja, nyie mnatakiwa mridhike na mwanaume mmoja, aliyepasua njia awe mume wako hadi mwisho.Kwahiyo tukubaliane kua binadamu bila kujali jinsia wote hawaridhiki na mtu mmoja,Kasoro wanaume wao wanajiendekeza!
Wanaume tuko poa sana... umekutana na species ya hovyoHabari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Acha kwenda kwaoSio kweli
Kula nje ni kwa nidhamu mama, nidhamu ya hali ya juu sana. Mwanamke mmoja atakupa pressure na utakufa mapema.Endekezeni michepuko mfirisike halafu mrudi kwa wake zenu mkiwa mnechakaa
Labda... ila si kweliWewe ni walewale
πππ Sio vizuri ..unanisingizia..unaaminika kwa kipi muhuni weyeπ€£π€£π€£ππ gangster
Safi, swali fikirishi je best wako akikuuliza mbona huendi kumtembelea utamwambiajeSiendi tena japo nyumba zetu zilivyokaa nikitoka nje tu lazima tuonane
Tuna cheat Sana tuu SEMA viwango vya ku cheat vinapishana wengine wanatumia Sana akili ku cheat wengine Wana cheat mpk too much..Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
unafkiri ntakuamini kirahisi ivo π€£π€£π€£πππ Sio vizuri ..unanisingizia..
Nimeachana na mashangazi kabisa
Umeshasema mchumba, ukiingia huko utampa pressure na it's a fact atakula kidogo nje, awe na nidhamu, ale na kunawa mikono na mdomo ili usijueπ€£Sio kweli! Mbona mimi mchumba angu hajawahi kuniambia nampa pressure