Nimeamini wanaume hawaaminiki

Sasa mkuu hicho kipapuchi unadhani umepewa liwe pambo zaidi ya kumpa na baba Cathe naye achakate.
 
@ephen kwa Mara ya kwanza umeniudhi. Kwani ukimpa baba cathe utapungukiwa na Nini?
Hebu mpe mbaba wa watu.
We mkomoe mwambie una shida ya laki mbili. Pokea laki halafu mpe mwenzio.
Kwani Ni wangapi wanakutongoza na sio watu wenye heshma zao?
Laki mbili? Nuksi magonjwa heshima status
Siwezi kufata ushauri wako
 
Laki mbili? Nuksi magonjwa heshima status
Siwezi kufata ushauri wako
Anavyompenda mkewe hivyo magonjwa atayatoa wapi. Chamsingi jitahidi mama Cathe asijue, kwani akijua utatamani kuhama mtaa, halafu itokee awe mshirikina utajua hujui. Unaweza hata kutumiwa majambazi kwani mwanamke anaumia Mara dufu mine wake akitembea na jirani au mtu anayemfahamu.
Fanya iwe Siri yenu.
 
Nilikua nakuheshimu kumbe chenga😂
Kasome Marko 10:9
 
Sasa mkuu hicho kipapuchi unadhani umepewa liwe pambo zaidi ya kumpa na baba Cathe naye achakate.
Ingekua mimi ni binti yako ungenipa ushauri huu?
 
Ukweli mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…