Nimeamini wanaume hawaaminiki

Watoto nane ni wengi sana
Dunia nzima uijaze peke yako!
Kwahiyo ndiyo uzae wawili tu Mjukuu?

Natafuta hela usiku na Mchana kwaajili ya watoto na Mama yao, kwahiyo Jukumu lako ni kuzaa tu hadi mayai yaishe ukifika 45 😜
 
Kwahiyo ndiyo uzae wawili tu Mjukuu?

Natafuta hela usiku na Mchana kwaajili ya watoto na Mama yao, kwahiyo Jukumu lako ni kuzaa tu hadi mayai yaishe ukifika 45 😜
Mimi wawili tu babu
 
🤣🤣🤣 Semina muhimu bff..
Bana sijakuona mimi mwezi sasa, nani kakuficha useme mapema kabla mabinti Sayuni hawajakuibia
Nilibanwa na mishe za hapa na pale ila nipo
Halafu sijafichwa ujue 🤣🤣🤣
Hebu nitafutie mfichaji nifichwe
Au nimtafute baba Cathe🤣
 
Watoto watano bado anamkumbatia mkewe,jamaa apewe tu maua yake Kwa kweli
Ephen bado hajafundwa vizuri akawa Ke mtarajiwa, asichojua Me wote ni Wahuni ila upendo kwa Ke zao huwa constant ambapo ni tofauti na Ke.

Ke akichepuka huingia mazima sababu huongozwa na hisia isipokuwa Me hata apewe mali na milki zote za duniani na huyo Mchepuko kamwe hasahau familia yake.
 
mchumba nahitaji kungwi
 
Nilibanwa na mishe za hapa na pale ila nipo
Halafu sijafichwa ujue 🤣🤣🤣
Hebu nitafutie mfichaji nifichwe
Au nimtafute baba Cathe🤣
🤣🤣🤣 Baba cathe ni mtu bad, ukija umevaa mino anajua shemeji tyr ana kitu anataka kunibariki.!!
Ww una kesi kwanza, tumeweka vikao halafu mkaachana na bwana harusi mtarajiwa na taarifa hamjatupa sijapentaaaaaa
 
Huwa siendi mara kwa mara, na nikiebda tunakaa kibarazani kama mume wake atakua amerudi wao wanaenda ndani mimi nakua busy na simu.
Hakuna Cha kuwa na busy kaa kwenu akiwa na shida aje kwenu usiende kwake unaelekea kuharibu ndoa yake kaa kwenu
 
Hakuna Cha kuwa na busy kaa kwenu akiwa na shida aje kwenu usiende kwake unaelekea kuharibu ndoa yake kaa kwenu
Mbona unanifokea!
Ungeona hali halisi usingesema hivi
Ila sitoenda tena
 
🤣🤣🤣 Baba cathe ni mtu bad, ukija umevaa mino anajua shemeji tyr ana kitu anataka kunibariki.!!
Ww una kesi kwanza, tumeweka vikao halafu mkaachana na bwana harusi mtarajiwa na taarifa hamjatupa sijapentaaaaaa
Kiruuuuu....Bwana harusi yupi kwanza mbona ghafla sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…