Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Sio wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siri zingine zinasaidia....kuna mtu anasubiria kwa hamu jibu lako hapa 😅😅😅🤣🤣🤣🤣 Acha basi, hiyo siri ya kambi we vipi!!
🤣🤣🤣 Semina muhimu bff..Nipo bff wangu....naona unatoa semina bila tshrt
Kwahiyo ndiyo uzae wawili tu Mjukuu?Watoto nane ni wengi sana
Dunia nzima uijaze peke yako!
Hahahaha...! Utautaka tu leo. Au bado upo kwenye personality!🤣Sitaki ukorofi na wewe...!
Nilibanwa na mishe za hapa na pale ila nipo🤣🤣🤣 Semina muhimu bff..
Bana sijakuona mimi mwezi sasa, nani kakuficha useme mapema kabla mabinti Sayuni hawajakuibia
🤣🤣🤣 Ww hiyo hapana yy afanye matipo choice kati ya hizo namba 3Siri zingine zinasaidia....kuna mtu anasubiria kwa hamu jibu lako hapa 😅😅😅
Ephen bado hajafundwa vizuri akawa Ke mtarajiwa, asichojua Me wote ni Wahuni ila upendo kwa Ke zao huwa constant ambapo ni tofauti na Ke.Watoto watano bado anamkumbatia mkewe,jamaa apewe tu maua yake Kwa kweli
You killed it all 😄🤓Hii ni kawaida na ndio asili, sio kwamba baba cate hampendi mkewe no,kuna mda kichwa cha chini kinafanya maamuzi yake binafsi bila kushirikisha cha juu.
mchumba nahitaji kungwiEphen bado hajafundwa vizuri akawa Ke mtafajiwa, asichojua Me wote ni Wahuni ila upendo kwa Ke zao huwa constant ambapo ni tofauti na Ke.
Ke akichepuka huingia mazima sababu huongozwa na hisia isipokuwa Me hata apewe mali na milki zote za duniani na huyo Mchepuko kamwe hasahau familia yake.
🤣🤣🤣 Baba cathe ni mtu bad, ukija umevaa mino anajua shemeji tyr ana kitu anataka kunibariki.!!Nilibanwa na mishe za hapa na pale ila nipo
Halafu sijafichwa ujue 🤣🤣🤣
Hebu nitafutie mfichaji nifichwe
Au nimtafute baba Cathe🤣
Uchoyo wa madesa huo. 😅😅🤣🤣🤣 Ww hiyo hapana yy afanye matipo choice kati ya hizo namba 3
Hakuna Cha kuwa na busy kaa kwenu akiwa na shida aje kwenu usiende kwake unaelekea kuharibu ndoa yake kaa kwenuHuwa siendi mara kwa mara, na nikiebda tunakaa kibarazani kama mume wake atakua amerudi wao wanaenda ndani mimi nakua busy na simu.
Kiruuuuu....Bwana harusi yupi kwanza mbona ghafla sana🤣🤣🤣 Baba cathe ni mtu bad, ukija umevaa mino anajua shemeji tyr ana kitu anataka kunibariki.!!
Ww una kesi kwanza, tumeweka vikao halafu mkaachana na bwana harusi mtarajiwa na taarifa hamjatupa sijapentaaaaaa