Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Hayo unayaona yataisha tu muda utaamua!kukumbatiana na mbwembwe kibao huisha mapema tu!!

Uanaume ni kazi ngumu sana sio rahisi hata kama mngepewa nyie uanaume mngefeli tu!!

Kubeba future ya watoto na mama yao ni mzigo wa misumari inayowafanya wengi wasitamani ndoa!!Mali zetu ni pesa iliyopo mfukoni,chakula tunachokula,mavazi na ke ulienae kitandani Kwa wakati husika,the future belongs to women and children's not men!!

Ndio maana sisi me Kila mmoja ana retreat Kwa tabia yake,wengine ulevi,wengine hiyo na mchanganyiko!!

Waliowatulivu ni wale wenye matatizo ya kiafya na kiroho ,lakini rijali kabisa can't settle with one!we were made for that!
 
Watoto watano bado anamkumbatia mkewe,jamaa apewe tu maua yake Kwa kweli
 
Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%

Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.

Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.

Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.

Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.

Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'

Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.

Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu

Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.

Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?

Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!

Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Sasa hivi unaliwa kimasihara
 
Mbona mimi naaminika?
FB_IMG_17126100618649206.jpg
 
Kucheat hakumaanishi mwanaume hampendi mkewe bali kuna mambo mengi yanaweza yakawa hayapatikani ndani ya ndoa na mwanaume akayataka nje, pia wanaume tumeumbiwa tamaa, kukutaka wewe haimaanishi kuwa ndio atamuacha mkewe ili awe nawe. Atakutumia na ataendelea kukutumia huku ndoa yake ikiendelea kushamili kwa madoido yote kama uliyoyaainisha hapa kama kawaida kama dawa 😃
 
wew ndio bado mdogo kwenye hayo maswala,,ni ivi io n kawaida sana na asilimia kubwa (sio zote) nyumba yenye furaha mme anachepuka uko nje ila heshima na nafasi ya mke wake inabaki pale pale,pia michepuko husaidia kupunguza baadhi ya makwazo ya wake zao.(inauma lakini)

Nawew unashangaa vile ilo zari limekuangukia wew,,ila in short n kawaida mdada.nukta
 
Back
Top Bottom