Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Mwanaume asiyecheat ana pepo yake kwakweli ,shemeji anatongoza bila aibu wala kupepesa macho
Jidanganye, hujiulizi kwanini viumbe vyote jinsi Me huwa vinachakata vipapatio tofauti tofauti na ni kawaida tu, kwanini isiwe kwa Me Binadamu au alijiumbia hizo tamaa za kutaka Ke zingine?
 
Ulinipa kimeo bff kweli hunipendi
Angalia yeye na mtoa post hii wanaitanaje halafu urudi hapa 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 bff tumehujumiwa!!!
Ila shemeji mkavu sijapata kuona jamani!!!
Yani km sio yeye aliyekuwa anakubebisha na kutoa ahadi kemkem! 🤣🤣🤣
Mimi na shobo zangu mpk jina nimeandaa halafu leo mkavuuuu!!! 🙌🙌🙌
 
Kwahiyo ulitaka hadi nipigwe ndyo ujue huyu mtu ni taken 😀😀😀
🤣🤣🤣 ngoja tumfanyie fitna penzi life haiwezekani tuachike kiboya boya bff
Yani wote tumeachika kuanzia dada mkubwa mpk wadogo zake khaaaaa.!!! Sisy Joannah hebu njoo useme kitu. Au yule mganga wa unguja muongo katuibia pesa zetu??! 😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 bff tumehujumiwa!!!
Ila shemeji mkavu sijapata kuona jamani!!!
Yani km sio yeye aliyekuwa anakubebisha na kutoa ahadi kemekem! 🤣🤣🤣
Mimi na shobo zangu mpk jina nimeandaa halafu leo mkavuuuu!!! 🙌🙌🙌
Wewe Lamomy mbaya sana aisee. Wewe na kamati yako ndio mlipenyeza habari kwake kwamba nimeoa. Na yeye akaamini, akanitosea baharini 😅
 
Back
Top Bottom