Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umpate nani? Kutongoza hujui.Sio kwer Mimi mchungaji Aya mmbo siyajui
Sasa nimeshaleft group kitamboo, na sina nachojua kuhusu uanaume, inakuaje hapo?Wewe ni nani kwani? Mbona kama unajitoa [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kasharudi yupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I told you nimeokoka 😅😅😂Mimi nahesabu tu hiyo mishangazi, tusilaumiane😎
sumu ishaga expire....wew vunja mifupa angali meno iko!Mwanaume wa mtu SUMU...!
Haijalishi nani anaongoza, mtu yeyote anaweza kusaliti mahusiano.Mgando mwenyewe...!
Ni kweli usaliti ni usaliti tu ila wanaume mnaongoza na nyie ndo mmetufundisha
Acha kwenda nyumba za watu. Kaa kwenu chaumbea.Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Hiki kikao kifanyike mapemaHivi tunaachajwe kizembezembe hivi jamani?kesho Kuna kikao Cha dharula,hapa Kuna mawili,ustaadhi wa unguja katulia Hela au kungwi wa maneromango katulisha matangopori,,,Lamomy kikao Cha dharura
sasa utachagua akukule laivu laivu au usiku kimiujiza,maana atafanya lolote hadi akate kiu!SIwezi fanya hivyo, wanaume single wapo wengi