Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Mimi naongea ukweli. Baba Cathe anampenda mkewe, wewe unavutiwa na mapenzi yao. Hivyo acha kwenda kwao Kila siku
Labda navutiwa bila mimi kujijua nisikubishie sana.
Sitoenda tena kwao.
 
Point yako ya kwanza nimeielewa
Lakini hiyo ya pili ya mimi nisimame kumsikiliza anavyotoa sera sijaikubali
"Kwanini niendelee kumsikiliza wakati najua fika siwezi kumkubali"
Kuendelea kumsikiliza ni upotevu wa muda

Usisahau nilikua nimetumwa, iweje nichelewe dukani kwa kusimama na mtu kichochoroni? BIG NO..!
😁😄😃😀🤣🤣!
Mkuu hongera kwa msimamo, nimefurahishwa.

Nikuulize swali lenye mfano wa vitu labda utanielewa vizuri.

Ushaangalia documentary za wanyama, wale wakali kama nyati wenye pembe za kujihami, wakitakiwa na simba ushaona pembe hizo zinawasaidia?

Tuje kwenye miti, mfano wa mchungwa: una miba mikali, ushaona matunda yake yakashindikana kuchumwa?

Hizo 'big no' zako hizo mkuu kwa mwanaume ndiyo chachu ya kujitathimini na kujenga hoja, kukataa kushindwa pamoja na kutumia rasilimali zake awezavyo ili kulainisha.

Enzi zetu nikikutongoza ukanambia 'sitaki' basi lazima niibadilishe hiyo sitaki iwe 'nataka' kwa mbinu zozote zile ziwe halali ama haramu.

Yeyote aliyenambia 'sitaki', tayari nishampata, hata mke wangu alinileteaga hizo za sitaki tena na matusi juu, nilimwambia neno moja tu, 'tutaona', hadi leo ninaye nazeeshana naye.

Waliosalimika kwenye anga zangu ni wale wanawake watii na wajenga hoja ambao mimi ninawaheshimu sana.

Ninapomsimamisha mwanamke akanitii na kisha kujenga hoja ya kiakili kunitolea nje, hapo hapo uking'ang'anizi wangu huishia hapo.

Lakini kwangu wale watukanaji, wakimbiaji, wabaniaji wa namba za simu na wakali wenye nyodo wote nshapita nao, kwa sababu sanaa ya kutongoza huichukulia kama ligi ya Simba na Yanga kutafuta ushindi ambao hata goli la mkono hulitambua.
 
Mkuu umeongea points tupu lkn huwezi amini Sijaelewa😂
Nitasoma tena baadae akili ikitulia
 
Back
Top Bottom