Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nitafute nna kitu nataka kukwambiaAsante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafute nna kitu nataka kukwambiaAsante mkuu
Pole kuna vingi utazid kujifunza mdogo angu.Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Hao wendawazimu sio wazima kiakili.Sikumtega!
nYie mnabaka hadi watoto wachanga na wao huwa wanawatega?
Na wewe unaamini kabisa?Wanasemaga wengine nipo single😂
Iyo si ajabu best iyo ni nature kwa kiumbe anaitwa mwanaume, ni kawaida sana kuona mwanaume anampenda kupitiliza mke wake cha ajabu akakufata akakutongoza kutaka mapenzi iyo tunaita nature vizazi na vizazi, kibaya kutelekeza familia ndio mbaya zaidi.Cha ajabu hapo ni mwanaume ana mke wake ila bado anataka michepuko
Huo ndio ulijali wa kiumbe kinaitwa mwanaume, ngoja uolewe alafu uone kwa mumeoMnajiendekeza...!
Chumba chao sijawahi kuingia hata sebule yao sijui inafanana vipi, nyumba zetu zipo karibu kiasi kwamba sioni shida kukaa kibarazani kwao na yeye huwa anakuja kibarazani kwetu kukaaHuyo mwanaume ni mwamimifu na anampenda sana mkewe.....anachokifanya anamlinda mkewe hataki awe karibu na wewe, anaogopa usije kumharibu mkewe🤣🤣🤣🤣......si unajua akufukuzae?
Angekuwa muhuni angefanyia mbali huko na angepata sababu ya kuchelewa kurudi as mkewe ana kampani nyumbani.....angewapisha Yani🤣🤣🤣
Huyo hakutaki na hataki kukuona karibu na mkewe ndo anawagombanisha......Ila ukijichanganya anakulamba kweli mgombane vizuri🤣🤣🤣
Halafu mashosti mpunguze kutembelea walioolewa, wanaume wengine washazoea wakirudi kazini wanapokelewa kikubwa, nyumba imefukizwa udi, mke ana kanga moja....ni kujishindia tu.....sa anarudi anakuta mke anafumuana nywele na shost, ni ukatili mnafanya huo🤣🤣🤣 Tulia kwenu mdogo angu.
Na asichokijua kuwa dhambi ni dhambi iwe umezini au umesema uwongona umemdanganya mzee wa watu kuwa huna simu. katubu hiyo dhambi ya uongo, la svyo toa namba
Nakushauri usiende kwake, hawa wanaume kadri tunavyoishi nao ndo wivu unaongezeka.......akimaliza kukutongoza atakwambia unamfundisha umalaya mke wake.Chumba chao sijawahi kuingia hata sebule yao sijui inafanana vipi, nyumba zetu zipo karibu kiasi kwamba sioni shida kukaa kibarazani kwao na yeye huwa anakuja kibarazani kwetu kukaa
Tunakaa na watoto wake tunapiga story tunacheka sasa kama ananihofia mimi kazi kwake
Na sio kwamba mimi ndo best wa mama cathe nop! Ana marafiki zake mtaani ila akiwa peke yake ndo naenda kwa wiki hata mara 3 haifiki cz mimi mwenyewe nakua busy na mambo yangu
Kama upo single na upo serious nichek private tujenge maisha.Mama Cathe ni mtu naelewana nae hata mama angu ni rwfiki yake mkubwa
Sema Mumewe ndo anataka kuleta mambo ya kiwaki...
🤣🤣🤣Usinichulie!😂