ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Huwa huna akili wewe, unachukulia mitandao kwa namna ya kipumbavu sana wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa huna akili wewe, unachukulia mitandao kwa namna ya kipumbavu sana wewe.
aliyem report Penseli nina zawadi yake...Ni vibaya sana na anatakiwa apigwe banned kwa Nini ana dislike hovyo hovyo
attention seeking disorder..!!Ni kijana mdogo tu! Anafanya mambo sijui anawaza nini na aliyempa hii idea sijui nani
Yule mshamba sana yaaniattention seeking disorder..!!
Kaja na nyingine tayari anajiita mbaba mrefu..!😂😂
Unaogopa maradhi ila ukipanda bodaboda kuvaa helmet hutaki ephen_ unasema itavuruga nywele zakoUnapitisha uovu! Una mahusiano yako kwanini usitulie?
Kuchepuka ni mambo ya zamani ambapo dunia ilikua haijachafuka
Sasa hivi magonjwa kila kona we huogopi!?
😂😁aliyem report Penseli nina zawadi yake...
Kamoyo kanaumaSitaki kusikia habari za Guede from now onwards...!🤸
Awapelekee ujana wake huko!Ni kijana mdogo tu! Anafanya mambo sijui anawaza nini na aliyempa hii idea sijui nani
Nature ina sababu ya kuumba ivyo mwanaume. Unadhani tusingekuwa na tamaa tusingewataka sana ,yaani Ile tamaa iwe mbali ina Mana hata uzazi ungekuwa chini mno.Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Muhimu sasa hivi ni tit for tatNature ina sababu ya kuumba ivyo mwanaume. Unadhani tusingekuwa na tamaa tusingewataka sana ,yaani Ile tamaa iwe mbali ina Mana hata uzazi ungekuwa chini mno.
Inaonekana hujakuwa bado u mdogo na hutoolewa. Suala la kutakiwa ujue ni kuwa tumeumbiwa kut00mba na kutafuta mafanikio. Wala huwa hatupendi Bali ni kwasababu ya kut00mba , Sasa usiwe na ilo tundu uone Kama Kuna upendo huo.
We're had created to seek success and sex that's man need on this planet even though women need everything on this planet.
Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Mi nikinyapia nikanyimwa natangaza tena nazusha habari za uwongoSomo la mwanamke kunyapiwa na mwanaume yeyote bila kujali mahusiano linafaa lianze kufundishwa
Mwanaume ni wajbu kunyapia na ukipewa unakula
ukinyimwa siri yako na uliemuomba
msisimuliane sababu itakua KUMBE HATA WEWE? KUMBE MSHENZIII